Mi ni kijana nadhifu
Natafuta msichana awe maji ya kunde, miaka 24-27,mkristo, msomi angalau Diploma,mcha Mungu, mwenye kujituma,mwaninifu mtii,mpole wastani
Asiwe mlevi,mvuta sigara,
Mi ni...
Bishanga nikichezea kichapo toka kwa mama Kayaii nikaja kulalamika hapa mmu mnanicheka,jamani zis is a serious problem,hebu someni hii toka front page ya 'daily news' ya leo:
Kenyan men urged to...
Wana Jf, kuna usemi wa kingereza unaosomeka:- always women give sex to get love while men give love to get sex. Je kuna ukweli wowote. Kwa mawazo yangu naona wanawake kutokana na usemi huo ndio...
Ni vipi mapenzi sio pombe, lakini yanalewesha? Sio kidonda lakini yanatonesha? Sio maradhi lakini yanauwa? Sio harusi lakini yanafurahisha? Sio fimbo lakini yanaumiza? Jee waungwana mapenzi nini?
Mwanamama mmoja nchini Marekani anayefanya kazi mochuari ameingia matatani baada ya kupata uja uzito kwa kujamiiana na mtu aliyekufa. Mtandao wa habari wa dead serious news umesema tukio hilo...
NDOA bana ajabu kweli.
Ndoa ni kama shule,mara nyingi kabla ya kuingia kwenye ndoa sio rahisi
kumfahamu mwenzako kwa kila kitu,hasa tabia zake zote.
Kwa kua ndoa ni kama shule,tunategemea...
WANAUME nchini KENYA leo wanaanza mgomo wa siku sita wa KUTO KULA NYUMBANI kupinga vitendo vya KUPIGWA na wake zao.
Huh,hivi hawa ni wanaume kweli au mashoga?
Au ndo wale wanao tunzwa na...
Nimekutana na msichana flani hvi jana,tukabadlishana namba zetu za simu!cha kushangaza eti leo ananitumia tafadhali niongezee salio..ni halali kweli ukzngatia hata cjatupa nyavu bado?
Money can be one of the biggest stressors in a marriage, and fights over money can often lead to divorce. Dont let your relationship be a casualty of money stress. Here are some money moves that...
Habari wana jf'mm n member mzuri sana wa hii rum ila cjawahi ku comment chochote coz najikuta nasoma 2 comm za wa2 na kurifresh mind! Ok' leo nimejikuta natinga kwenye uwanja.majuz nilienda kumpa...
Kwakua maisha mjini yalizidi kua magumu kulikua hakuna jinsi, tukaona turudi kijijini. Nilimpenda sana mkewangu, nikaona niende kukaa kwa kaka yangu naemfata. Walipendana sana na mke wake. Thanks...
Wanajamvi
Nilikuwa na Mpenzi wangu ambaye tumekuwa katika mapenzi kwa muda mrefu sanaa, ni karibu miaka sita. katikati ya uhusiano wetu alipata ujauzito na tuna mtoto mmoja ana miaka minne lakini...
Naomba kuuliza KUNA CCTM AMBAYO MTU ANAWEZA KUPATA MSG ZA MTU FLANI ANAZOTUMIWA..... mfano mimi naweza nikasoma msg zote zinazoingia kwenye cm yako unazotumiwa na mtu yeyote kupitia cm yangu bila...
Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
Waswahili wanasema bora kukosea kujenga kuliko kukosea kuoa. Msemo huu unarihidhisha wazi kuwa swala la kuoa linahitaji busara na hekima ya hali ya juu. Ni kitu gani hasa...
hi Jf members, hope u r all ok. natafuta marafik wa kike wa kuchat nao na kubadilishana mawazo,awe anasoma kuanzia form 5 mpka university first year,miaka 18-22,awe mstaarabu.
Wakuu Wana JF, Salaam!
Nimejaribu kuangalia kama hii mada ilishaletwa hapa lakini sikuona inayolingana nayo. Ikiwa ipo tayari samahani kwa kuirudia.
Huwa ninatatanishwa na dhana ya WIVU katika...