100% Mapenzi yangu kwako !

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
................................................................siwezi kuelezea sasa hivi ninavyokupenda Tanzania, maana hili sakata la mawaziri ni tamu mno!!! Halafu eti wao wanajifanya hawajui???
 
................................................................siwezi kuelezea sasa hivi ninavyokupenda Tanzania, maana hili sakata la mawaziri ni tamu mno!!! Halafu eti wao wanajifanya hawajui???

Kina nani hao wajifanyao hawajui?
 
Akina Mkulo,Ngeleja na wenzao!Au huangalii bunge mama?

Kwa hiyo hawajui jinsi gani Ng'anakiduku amefall kwa Tanzania.
Aisee hii kitu naifuatilia kwa undani sana, sikupata tu mtiririko wa mawazo ya jamaa; could be he is too excited!
 
Kwa hiyo hawajui jinsi gani Ng'anakiduku amefall kwa Tanzania.
Aisee hii kitu naifuatilia kwa undani sana, sikupata tu mtiririko wa mawazo ya jamaa; could be he is too excited!
Unajua ilikuwaje?
  1. Sakata la Jairo lilimtaka Ngeleja na mwenzake wajihudhuru, wakasema hapana sisi siyo wezi, ikapita
  2. Haji mponda akaambiwa mbona umesema huwajibiki kwa ma Dr basi jiuhudhulu akasema sihusiki
  3. Chami na tbs "mkurugenzi wake akabanwa wewe mnamakampuni hewa akasema Jumatatu waandishi njooni niwape madocument, chami akasema hajui
  4. Mkulo na CHC akasema haifai tuiangamize, wakamwamibia wewe muongo, akasema siyo
  5. n.k.
Ukweli serikali ya Tanzania imeoza sana. Na tatizo la viongozi wengi wanatumia hela nyingi kuhonga kutafuta ubunge, wakishapata wanataka warudishe mtaji na faida.
Kuna jamaa mmoja aligombe ubunge, yaani kwenye kura za maoni aliuza nyumba gari 2, na matreka 2, halafu akatoswa. Sasa mtu kama huyo apate ubunge itakuwaje?
 
Tunaimbwa hip hop msibani? Nilitegemea tuimbe kwaya.

Jukwaa la presha mbona lipo.
 
Tunaimbwa hip hop msibani? Nilitegemea tuimbe kwaya.

Jukwaa la presha mbona lipo.

Sio pressure mwenzio kajawa na furaha; hadi ile ya kwenye sarawili ikawa excited ndio maana inahusu Mapenzi (na tanzania), Mahisiano (na tanzania) na Urafiki (na Tanzania ofukozi)!
 
I get u Ng'anakidiku; l share ur admiration for usanii wa Tanzania leaders and politicians; It is hard not to!
 
Back
Top Bottom