Inasikitisha tunaenda wapi..?

shikolo

Member
Apr 18, 2012
72
21
Baba mmoja amekutwa guesthouse akiwa na mtoto wa kaka yake aliemchukua kijijini ili amsomeshe akaamua kujilipa kwa kupata ngono kwa huyo mtoto mbaya zaidi kaingia nae humo na uniform kabisa na yeye amepaki stk.... Mali ya wizara ya ujenzi. wazazi tunaenda wapi jamani ?!!
 
ndiyo kumsomesha kwenyewe huko...somo linaitwa kamasutra techniques 301...
 
Baba mmoja amekutwa guesthouse akiwa na mtoto wa kaka yake aliemchukua kijijini ili amsomeshe akaamua kujilipa kwa kupata ngono kwa huyo mtoto mbaya zaidi kaingia nae humo na uniform kabisa na yeye amepaki stk.... Mali ya wizara ya ujenzi. wazazi tunaenda wapi jamani ?!!

Shikolo hii ni hadithi au ni kweli? Kama ni kweli naomba unijibu maswali yafuatayo:
  1. TUKIO LIMETOKEA LINI
  2. TUKIO LIMETOKEA ENEO GANI LA NCHI YETU
  3. KWA KUKUWA HUYO MTU NI MHALIFU KWA NINI MNAFICHA JINA LAKE WAKATI HUYO MTU HAFAI HATA KUVALISHWA NGUO?
  4. NAMBA YA HILO GARI NAYO KWA NINI UMEIFICHA?
  5. SHULE ALIYOKUWA AKISOMA HUYO BINTI
Baada ya kuleta majibu ya maswali haya hiyo thread yako ndiyo itakuwa na thamani kuwekwa humu tofauti na hivyo utakuwa umeleta umbea tu nakupoteza muda wa wadau kusoma mambo mengine. Kwa muijbu wa taratibu za uandishi hupaswi kutoa taarifa inayoacha maswali mengi bila majibu.
 
Well said Bulole! Angeweza hata kureport polisi au kishirikisha vyombo vya habari!
 
Umenena mawazo yangu pia
OTIS
 
How effective is child protection in TZ......

MadameX child protection begins in our very own hands, tukitegemea hii ya kupewa na serikali na dada zao wa kambo kina UNICEF itakula kwetu. Nafikiri ifike wakati wahalifu kama hawa tuachiwe tu wamama tuwararue kwa makucha yetu na kuwauma meno!.
 
kuna kila dalili semester hii umekosa kula vichwa. wengi wameosha kwa makarai! kwi kwi kwi kwi!
 
Mungu kampa kila binadamu akili yake, usishangae kuona Tanzania wanawake wamejaa na jamaa ukamkuta anasex na mnyama :mad2:
 
Baba mmoja amekutwa guesthouse akiwa na mtoto wa kaka yake aliemchukua kijijini ili amsomeshe akaamua kujilipa kwa kupata ngono kwa huyo mtoto mbaya zaidi kaingia nae humo na uniform kabisa na yeye amepaki stk.... Mali ya wizara ya ujenzi. wazazi tunaenda wapi jamani ?!!

hakuna msaada usio na marengo
 
Well said Bulole! Angeweza hata kureport polisi au kishirikisha vyombo vya habari!

Kesi imefunguliwa magomeni polisi mshitakiwa anashikiliwa pale siyo story na mtoto anasoma shule iliyoko mbezi ya kimara
 
Back
Top Bottom