Nilitaka kupiga kavu

mtengwa

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
1,600
847
Habari wana jf, yaani hapa najipongeza maana nilitaka kufanya kitu ambacho pengne ningejutia in life. Kuna gal tunakaa nae nyumba 1 ya kupanga(huku nilipo kwa aunt) xa nilimtokea n akakubali yeye yupo kwa dada yake. Mida hii naenda chooni na yeye ndo alikua anaenda kuoga, mtu mzima nikafosi nikaingia nae bafuni mtoto kavua nguo na mi nkavua ila naanza ma touches dada yake kaita jina la huyo demu kamwambia afanye fasta kuna k2 amuelekeze xo nikavaa haraka nikarudi zangu room. Dah kosa hvyo ninge sex nae bila zana maana sikua nazo. NASHUKURU KURUKA MTEGO
 
wandugu tuweni makini Ukimwi unaua, na kwa sasa upo kila kona hadi kwenye kona ya chumba chako, pembeni yako.
kwa non medical unaweza ona kila demu ni mzuri ila wote siku hizi wana ngoma. mimi huwa sifanyi mpaka nimpime.
pia kumbukeni bioline zote zimerudishwa coz ni fake kwa tuliopima zamani na hizi tuko kwenye risk hivyo tuweni makini. Hiv inatesa sana jamani. jaribuni kutembelea hospitalini mtaona.
 
Habari wana jf, yaani hapa najipongeza maana nilitaka kufanya kitu ambacho pengne ningejutia in life. Kuna gal tunakaa nae nyumba 1 ya kupanga(huku nilipo kwa aunt) xa nilimtokea n akakubali yeye yupo kwa dada yake. Mida hii naenda chooni na yeye ndo alikua anaenda kuoga, mtu mzima nikafosi nikaingia nae bafuni mtoto kavua nguo na mi nkavua ila naanza ma touches dada yake kaita jina la huyo demu kamwambia afanye fasta kuna k2 amuelekeze xo nikavaa haraka nikarudi zangu room. Dah kosa hvyo ninge sex nae bila zana maana sikua nazo. NASHUKURU KURUKA MTEGO
we JUHA kweli, yaani umeenda kutembea kwa shangazi yako na ukataka kufanya ufuska? jiangalie utakuwa mzigo kwa taifa katika siku za usoni
 
Watu wanawaza ngono tu hapa bongo,kweli maendeleo yatakua ndoto kwa staili hii.
 
Habari wana jf, yaani hapa najipongeza maana nilitaka kufanya kitu ambacho pengne ningejutia in life. Kuna gal tunakaa nae nyumba 1 ya kupanga(huku nilipo kwa aunt) xa nilimtokea n akakubali yeye yupo kwa dada yake. Mida hii naenda chooni na yeye ndo alikua anaenda kuoga, mtu mzima nikafosi nikaingia nae bafuni mtoto kavua nguo na mi nkavua ila naanza ma touches dada yake kaita jina la huyo demu kamwambia afanye fasta kuna k2 amuelekeze xo nikavaa haraka nikarudi zangu room. Dah kosa hvyo ninge sex nae bila zana maana sikua nazo. NASHUKURU KURUKA MTEGO

Na kweli wewe ni mtengwa wa kila kitu, halafu uache umapepe wako JF siyo FB kil kitu cha kijinga kijinga unakuja kukipost hapa!!!

Tondolobeshi weeeeee!!!
 
kuna watuwanakurupuka wanaamini kila kitu kinafaa kuwekwa jukwaani pasi kuelewa kinamdhalilisha mleta hoja na kuonekana hamnazo .. unapoleta kitu jukwaani unahitaji muongozo kwa maana umekwama watu wakukwamue lakin huu upuuzi haufai kuuweka mmu hauna umuhimu wala ulazima.. inaoyesha kiasi gani usivyoelewa utendalo ungepeleka facebook ndiko kunakolingana na akili hii
 
Habari wana jf, yaani hapa najipongeza maana nilitaka kufanya kitu ambacho pengne ningejutia in life. Kuna gal tunakaa nae nyumba 1 ya kupanga(huku nilipo kwa aunt) xa nilimtokea n akakubali yeye yupo kwa dada yake. Mida hii naenda chooni na yeye ndo alikua anaenda kuoga, mtu mzima nikafosi nikaingia nae bafuni mtoto kavua nguo na mi nkavua ila naanza ma touches dada yake kaita jina la huyo demu kamwambia afanye fasta kuna k2 amuelekeze xo nikavaa haraka nikarudi zangu room. Dah kosa hvyo ninge sex nae bila zana maana sikua nazo. NASHUKURU KURUKA MTEGO

mtengwa ulifanikiwa kuondoa ile kitu kwa ngariba? Sasa ungepiga dry demu si angeona mkono wa sweta?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom