Wana JF
Naomba tushauriane suala hili.muda huu niandikapo natoka kucheza muziki na shoga.kwa mbali naambiwa alikuwa tanga.alikimbia kule kwa kudhurumu.yeye ni mrefu,mwembamba...
Things have changed complitely.
A real man had to straggle to bare the family, to care and to prepare a better future for his family.
Currently this things have changed and in some instance are...
Niko hapa maeneo ya Mlimani City na mfanyakazi mwenzangu ambaye bado hajaoa Tumesimama mahali ambapo kila anayeingia na kutoka hapa Mlimani City tunamuona.................. Kuna mabinti wengi...
Ni true case. Binti ni shemeji yangu na mwanaume ni rafiki yangu. Binti aliambukizwa HIV kutoka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa, na aliniambia mwenyewe. Kupitia kwangu rafik yangu alimfaham huyu...
Ulikuwa kama mchezo mnakusanyika watoto wa kike na kiume na mnaanza kuimba, akianza mwanamke anamachagua mwanaume na akianza mwanaume anamchagua mwanamke, wengine tulikuwa tunautumia kwa...
wanaume huwa wana usiri sana pale ambapo rafiki ake anakuwa ana mademu more than one, hata iwe rafiki ake awe amekwenda kumsindikiza binti mwingine, utasikia rafiki ake akisema oooh shemu karibu...
Jamani hapa tunaongea kama wazazi
Je ni halali mama kupiga dabali watoto mgongoni?
Akipiga hivi dabali haiathiri malezi na makuzi ya watoto?
Yaani hapa nazungumzia umemwacha mkeo nyumbani akaja...
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe mkristu mwenye hofu ya MUNGU.
2. Umri usiozidi miaka 25.
3. Mweupe, mwenye umbo la wastani (average), mrefu wastani
4. Elimu kuanzia form 6 na...
Kwa wamama na wadada ambao ni above 18 mpaka 60...
ambao wana interest na male company for fun na weekend gateways..
pm please....
napenda kusafiri around east africa na starehe zaidi...no...
Imagine umeoa/kuolewa ghafla
unamkuta wife/husband anaangalia picha
kwenye album yake huku anasikitika,
unamuuliza vipi anakwambia
unamuona huyu naemwangalia
alinipenda sana ila hakufanikiwa...
Hello guys..Am a lady aged 28 yrz ni mama wa 3 yrz dota.mkasa wangu ni huu,huyu baba wa mwanangu naish nae na alinioa kwa ndoa ya kimila 2008! Makubaliano yalikuwa ni hv imediately nikigraduate we...
Inasikitisha sana lakini ukweli ni kwamba hili limetokea leo mjini dodoma.
Mmaasai mmoja kamuua mwenzake kwa sime. Chanzo cha ugomvi ni ugomvi wa
hao wamaasai wakigombea mwanamke ambaye alikuwa...
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kabila langu ni mchagga natafuta mwanamke wa kuoa awe kati ya miaka 22-25 awe na elimu ya chuo, awe mkisto anayemjua Mungu.Kwa yoyote yule ambaye anadhani...
Jamani wanaume wengi wanalalamika kuhusu tabia ya baadhi ya wanawake ya kutotaka kuishi na ndugu wa upande wa mwanaume. Wengi wa wanawake wa jinsi hii wanapenda tu wakae na ndugu zao, lakini siyo...
Fikiria wewe ni binti (au mzazi wa binti) ambaye unataka/ anataka kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma (illiterate) utakubali? Hebu tujadili wanajamvi... kama utakubali ni kwanini??? na kama...
Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa pole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili...
Mm n mwanaume mwenye umri wa miaka 30 natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 35 na kuendelea ila awe mnene mrefu na mimi nh mrefu mwembamba kama atapatkana na atakua serious antafute kupitia...
Hi to all, kwa kufupisha: ivi wanawake jamani mnataka wanaume tuweje/tuwafanyie nini ili muweze kuamini mnapendwa kweli?? kwa wanawake na wanaume wenye kujua siri ya mafanikio..welcome,