Nifanyeje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbofu, Apr 23, 2012.

 1. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello guys..Am a lady aged 28 yrz ni mama wa 3 yrz dota.mkasa wangu ni huu,huyu baba wa mwanangu naish nae na alinioa kwa ndoa ya kimila 2008! Makubaliano yalikuwa ni hv imediately nikigraduate we go to church to convert the marriage..maajabu wenzangu b4 the grad..nkamweleze mbona sion hayo maandalz? The man akaja juu telng me what do i miss therein? Nkamjb no itz not the concesus..in 2010 nkapata k2 from hs cousin kumbe a man alzaa na mama mwngne b4 me and he waz lvng wth her kwa siri..i asked the man akajb ni kwel had fathered a girl 4 yrz b4 mimi kuolewa nae..yap i understood and went ahead with life,last year ilikuwa may i waz in the office writing ma report,mara cm ikaita kuchek a new no..nkapokea..i waz lyk gettin uchz in the moment..nlporomoshewa matc mazto na mdada introducing herself to be a mom of the step-daughter kilchonfanya nitake kupata uchz akanieleza she had a newborn of 6 months yani wawefka wawl..DU NKAFKR KUMBE THE MAN HATAK KUFUNGA NDOA kansan coz ana bibi mwngne..what i did nlikata cm ya yule mama then nkampgia huyu baba nkamuulza kstarab ckusbr nionane nae coz alikuwa safar kikaz..albsha bt nkambana akasema ukwel..tena yule mama alikuwa amempangia nyumba na huwa aksafr sometym kumbe yupo kule..nlimwambia cpo tayar kuendelea kuish ktk maisha hatar km yale nkamwambia ndoa ye2 ni nyepec sana kvnjka needs no tym wala court procedure..jamaa akagoma kaenda hadi kwa wazaz..u guys know how we ladies are esp when u lil' love..nkasema ok tkarud kuendelea na lyf..mwez nov yule mama akaleta vurugu kubwa sana anadai kodi ya nyumba..what i told the man amlpie coz alyataka,bt akakataa hadi tkalumbana..nkanyamaza hadi sasa yule mama yupo kwa wazaz wake..KILICHONIFANYA NIJE HAPA JAMVINI..nataman nianze maisha yangu mwenyewe coz cmuamin tena huyu baba,2. Am flng ly guilty to the fellow lady coz nadhan nlmkta japo huyu baba haknweka wazi nafeel what if ningekuwa mim.3. Nahc huyu baba anampango wa kuwa na mitara smthn i cant hold.4. Love strec kills faster than polium. Naomba msaada wa kimawazo.plz ucn2kane feel ma position.
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nimepata shida kukuelewa kwa sababu umeandika ki-sharobaby mno.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ana mme(ndoa ya kimila) na wana watoto watatu pamoja. Mwanzoni walipanga kwenda kubariki hiyo ndoa yao kanisani ila baadae mwanaume akawa hataki. Kuja kushtukia dada anasikia kwamba mwanaume ana mtoto mwingine mkubwa alozaa kabla ya ndoa yao na bado ana mahusiano na mama mtoto. Akaendelea na maisha mpaka siku moja alipopigiwa simu na kuporomoshewa matusi na huyo mama huku akidai ana mtoto mwingine wa miezi sita. Mume kuulizwa akakataa ila mwisho akakubali.

  Dada akataka ndoa ivunjwe ila wakaishia kubaki pamoja, sasa ndo anafikiria kuanza upya maana hataki kufa kwa stress zihusianazo na mapenzi.

  Mpe ushauri mwenzio sasa.
   
 4. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Oh asante kwa kunitafsiria.

  Wewe lazima utakuwa sharobaby...
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Umeishia darasa la ngapi we mleta mada,maana huo mwandiko mie cjaelewa chochote hapo?
   
 6. Snia

  Snia Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Angalia moyo wako unafeel aje, siwezi semea moyo wako bt ningekuwa mimi long tym ningeshampiga chn cz hana mapenz ya ukwel na magonjwa hayaa akha! Afya kwanza mapenz baadae
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  SharoLady bana. . .
  Haya mpe ushauri basi.
   
 8. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  senetor mwandko tena ndg yangu? Need ur mawazo...am now pursuing an LLM
   
 9. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Imeniumiza kidogo japo huwezi kumuamlia mtu lakini ukweli utabaki palepale maisha ya mitala tuwaachie akina Zuma
  Young Lady fanya maamuzi magumu kwa faida yako ya leo na baadae,wewe hutokuwa wakwanza na hutokuwa wamwisho ondoka hapo ulipo ishike njia uende zako,upendo mmja unapoisha papo hapo huzaliwa mwingine,fanya haya niliyokuambia upumzike
   
 10. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  piga chini hicho kidume kinachowagonga nyote wawili kavukavu...
   
 11. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  LLM???? umeniacha hoi.
   
 12. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Lizzy umefanikiwa kwa asilimia kubwa kumwelewa shallolady mwenzako isipokuwa kwenye idadi ya watoto, ni mmoja wa miaka 3 na sio watatu.

  Mama mtoto pole ilakwa kiasi kikubwa naona maisha yetu watanzania ndivyo yalivyo kwa njia moja ama nyingine.

  Kama upo tayari kusonga na maisha ukiwa pekeyako na mwanao bilikujali kupata ama kutokupata mme mwema utakuwa shujaa wa hii vita.

  Ila usitoke kwenye hiyo ndoa ukiwa na matumaini ya kupata ndoa nyingine nzuri hivi karibuni, maana kwenye foleni wapo maelfu, unajuahilo.

  Maamuzi ni yako kusuka ama kunyoa. Matamu na machungu ya hiyo ndoa wewe ndio unae yajua. Chukua hatua.
   
 13. k

  kisukari JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,759
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  kwanza kabisa,usijilaumu,huna makosa yoyote yale.makosa ni ya huyo bwana,kutokuwa mkweli tangu mwanzo. you can do it,kuwa single sio mum sio mwisho wa maisha.ni bora uishi mwenyeshe uji feel peaceful.kuliko kuishi na mtu ambae trust ni zero.songa mbele ingawa mwanzo utakuwa mgumu
   
 14. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,203
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  C wanajamvi wote 2najua english, jitahid unapopost thread usichanganye sn lugha kias hicho. Hata km wasomi mmezoea kuchanganya lugha hi sasa kali!
   
 15. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Loving for doing 100%
  Loving for marriage.
  Searching...100%
  Loading...0%
  Network Failed !
   
 16. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  hmm hili zito kweli kweli.pole:shut-mouth:
   
 17. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sorry kwa kukukwaza ila naamin umenielewa mana hata wewe umechanganya
   
 18. M

  Mbofu JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanten wapendwa kwa mawazo yenu,kwanza imenpa moyo kwamba maamuz yangu yatakuwa ya haki,pili ile hofu ya kuwa ni mdhambi kwa mwanamke mwenzangu imetoka mana ni dhahr mdhambi ni huyu baba..zaidi ctaraj kuolewa tena mana km mtoto ninae tayar na zaid i now regard all men equal the difference is on their names(naomba nsmkwaze mwanamme yeyote jamvin kwa statement hii) inaniumiza sana hii k2. Again,much of thanx to u all for ur heartfelt idea.
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Yaani wewe dada mbona uandishi mbovu
  namna hii
  .Ndio nini hiki kuelewa mpaka usome kwa umakini sana
  Kama unataka kuandika kingereza andika tukuelewe
  na kama unataka kuandika kiswahili hebu tuandikie kiswahili Fasaha ili tukuelewe
  Nitarudi baadae .
   
 20. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Pole sana but usijali cause maisha bado yanaendelea, umesema una mtoto wa miaka mi3 na the good thing una kazi yako sioni sababu ya wewe kuendelea na huyo mwanaume maana atazidi kukuumiza..endelea na maisha yako am sure you can stand alone..
   
Loading...