Natafuta mke wa kuoa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mke wa kuoa.

Discussion in 'Love Connect' started by Rwabukambara, Apr 25, 2012.

 1. R

  Rwabukambara Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 15
  Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kabila langu ni mchagga natafuta mwanamke wa kuoa awe kati ya miaka 22-25 awe na elimu ya chuo, awe mkisto anayemjua Mungu.Kwa yoyote yule ambaye anadhani anaweza kuwa Mke bora anitumie Private Message nitajibu haraka sana. Kabila lolote isipokuwa WAHAYA.Karibuni sana tuungane pamoja tuanze familia.
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mimi muhaya kwa nini hunitaki?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ama zetu Smile....kwa nini aseme hivyo...?
  kwani tuna ubaya gani....?
  aseme hapa hapa au tumwagie sumu....

   
 4. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,088
  Trophy Points: 280
  Mkuu weka wasifu wako wazi zaidi...
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  washomire sisi tushamkosa mwana hivihivi
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  wahaya oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 7. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Whaaaaat?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  tena jamaa ni wa UK kabisa (Uru Kishumundu)

   
 9. Ndetirima

  Ndetirima JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Humu huwezi pata mke ndugu yangu, wengine humu sio binadamu wa kawaida ninasoma jinsi wanavyochangia mada baadhi yao wanatisha sana, utakuja owa jini hivi hivi. Muombe Mungu na hudhuria ibada huko utampata wa uhakika zaidi lakini wa JF sikushauri.
   
 10. Avaya

  Avaya Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tuma namna ya kuwasiliana basi
   
 11. Avaya

  Avaya Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tuna namna ya kukupata basi
   
Loading...