Je! utafanyeje?

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Imagine umeoa/kuolewa ghafla
unamkuta wife/husband anaangalia picha
kwenye album yake huku anasikitika,
unamuuliza vipi anakwambia
unamuona huyu naemwangalia
alinipenda sana ila hakufanikiwa na alitoa zawadi kubwa kuliko wote siku
ya harusi yetu,
je utafanyaje?
 
Hakuna takachofanya kitakachosaidia chochote..,
Ila tapata wasiwasi na busara za mke wangu.., (na kama sio chizi),
basi tajua kibuti kinakaribia (akufukuzae hakwambii toka).

Na kama nataka kumuudhi na yeye tamwambia mhh zawadi kubwa kuliko zote ?, haiwezekani nadhani EX wangu ndio alitoa zawadi kubwa zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom