Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii nimeikuta kule kwa wavuti.com. Mtoto wa kike hata kiss hataki. Hata hug hataki. Lakini mtoto wa kiume bado ni king'ang'anizi tuu. Haondoki. Anasukumwa, anaanguka lakini bado yupo tuu. Mtoto wa...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Ananipenda sana,ila anawivu mno mpaka ananiudhi..Dawa yake ni nini wana mmu?.nataka anipende kiasi..
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii nimeinyaka kwenye gazeti la 'mwananchi' la leo uk 11: AUAWA BAADA YA KUFUMANIWA Joseph Lyimo,Kiteto mkazi wa kijiji cha Weza wilayani Kiteto mkoani Manyara ameuawa kwa kuchomwa visu mwili...
4 Reactions
153 Replies
10K Views
Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo. Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam, huku nikimkumbuka...
3 Reactions
197 Replies
11K Views
Elton John Nikita - YouTube Hey Nikita is it cold In your little corner of the world You could roll around the globe And never find a warmer soul to know Oh I saw you by the wall Ten of your...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
siku hizi bwana karibia kila msichana ambaye utamtongoza atakwambia umechelewa nimeshawahiwa....hivi hili linaukweli au ndio njia siku hizi wasichana wameamua kuitumia kuwakwepa wanaume
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu wote humu ndani...mm ni mschna tangu nimeolewa ni mwaka mmoja tu! cjawah kugombana na mume wangu hata cku moja! nawapenda wifi zangu na shemeji zangu pia! jinsi ninavyoishi nao ni kama...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni miaka sita sasa tangu niishi na mpenz wangu ninaempenda kwa dhati.lakini naona ameanza kunibadilikia.ni kawaida yetu kuonana kila weekend.lakini cku hizi hana mda wa kuonana na mm,cmu...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Hivi kwann mke wa mtu, kwa nini Mume wa mtu?!?!?! Starehe ya mda mfupi hiyo kumbuka, na ni kwamba unashindwa kucontrol ur desires!!!aaggggrrrrrrhh,achaaaa!!
3 Reactions
19 Replies
2K Views
kwa ninihili linatokea sana??? pindi mke anaposafiri mume either atatembea na jirani au kama ndo amepanga atatembea na mpangaji mwenzie naongea kwa experience ,je wanaume hamuwezi kuvumilia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=DJAg35WOKVg&feature=related Have I told you lately that I love you? Have I told you there's no one else above you? Fill my heart with gladness, take away all my...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kauli ya kuwa unampenda sasa haina makalio yoyote Kauli ya kuwa ni yeye tu anayedundia rohoni kwako ni bure Kauli ya kuwa una mipango kamambe naye ahisi wataka mkopo Kauli hizi zote yawaje aone...
14 Reactions
155 Replies
9K Views
Jamani nisaidieni kwenye hili,kuna jamaa yangu mmoja yeye ni mswalihina sana,katika story zetu tukafikia mahali ambapo alinishauri kuwa kila mnapomaliza faragha na mpenzi/mke wako lazima...
0 Reactions
63 Replies
9K Views
wewe una mke na jioni ukawa umeagana na mkeo unaenda kwa rafiki yako na ukamwambia mkeo kwamba utachelewa kurudi mkeo akakubaliana na wewe akakwambia ye atabaki nyumbani....kumbe wewe safari yako...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Does it drive anyone else absolutely crazy when couples (especially the expectant father) refer to being pregnant as "we're pregnant." Yaani ni sawa na mume anasema "tuna ujauzito". It's like they...
3 Reactions
83 Replies
6K Views
Phil Collins - Easy Lover - YouTube Easy lover She'll get a hold on you believe it Like no other Before you know it you'll be on your knees She's an easy lover She'll take your heart but you...
2 Reactions
3 Replies
818 Views
Before Marriage Boy- At last. I can hardly wait. ! Girl- Do you want to leave? Boy- No! Don't even think about it. Girl- Do you love me? Boy- Of course! Always Girl-Have you ever cheated on me...
0 Reactions
5 Replies
959 Views
Jamani habari wana MMU, nimekuja kujiunga natumaini kujifunza mengi kutoka kwenu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nilikuwa na rafiki yangu tuliependana sana...alikuwa ni kama ndugu yangu..ghafla alinibadilikia na kuanza kunidharau na hata kunituc..cku ya jana niliamua kumuuliza sababu ya mabadiliko yake...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nimeenda park leo baada ya kutoroka kazini na kukuta vi baby vizuri kweli. Nikavitamani na nikaona why not na mimi nizae na niitwe mama. Uwezo wa kulea ninao na niya pia ninayo. Nataka viwe vi...
19 Reactions
313 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…