....kama ingekuwa wewe ungefanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

....kama ingekuwa wewe ungefanyaje?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngararumo, May 25, 2012.

 1. n

  ngararumo Senior Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wewe una mke na jioni ukawa umeagana na mkeo unaenda kwa rafiki yako na ukamwambia mkeo kwamba utachelewa kurudi mkeo akakubaliana na wewe akakwambia ye atabaki nyumbani....kumbe wewe safari yako ilikuwa ya kwenda club na wala si kwa rafiki yako kama ulivyomwambia mkeo...umefika club umekutana na mwanamke mkawa mnacheza ukamtongoza na akakukubalia tokana na club kuwa na mwanga wa kutosha hukumuona vizuri so mkapanga muende guest mlivyoingia ndani kutokana na mwanga wa taa la asha unagundua ni mkeo....utafanya nn?
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,213
  Likes Received: 10,558
  Trophy Points: 280
  Tunamalizana coz wote ni wazinzi.
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hiyo inaitwa bila bila...yaani hufanyi kitu....unajua kuwa umeingizwa mjini na mjanja si wewe tu....
   
 4. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mnaendelea tu kuishi bcoz u deserve each other.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,810
  Likes Received: 83,207
  Trophy Points: 280

  Hahahahaha lol! umekurupuka Kaka...mkeo unatakiwa umjue hata akiwa gizani banaaa!!!!...hukushtukia hata sauti Mkuu!? kwamba sauti hii nimewahi kuisikia mara nyingi sana!? :):) hakuna la kufanya hapo maana wote ni wakosaji ilichobaki ni kuombana samahani na kuendelea na ndoa yenu.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Mpaka unamtongoza ni lazima aongee, je utakuwa kiazi kwa kutotambua sauti ya mkeo kisa mwanga hafifu? By the way, acheni uzinzi.
   
 7. Adoe

  Adoe JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Its illogical! Yaani mke wako ushindwe kutambua hata sauti, harufu nk!
   
Loading...