....hivi hili ni la kweli?

ngararumo

Senior Member
Oct 17, 2011
173
43
siku hizi bwana karibia kila msichana ambaye utamtongoza atakwambia umechelewa nimeshawahiwa....hivi hili linaukweli au ndio njia siku hizi wasichana wameamua kuitumia kuwakwepa wanaume
 
in reality hakuna msichana/mwanamke aliye single yan hana mtu. wachache sana ndo utawakuta wako alone. cha msing km unampenda mwanamke fulan na una malengo nae we funguka tu.smtime unawezakuta ana mtu ila hajielewi yuko position gani. c kila aliye ktk mahusiano anafurahia hayo mahusiano!
 
Hapo umenena coz siku hizi kuna watu wanajiingiza kwenye mahusiano kama fashion
 
Back
Top Bottom