Kuoga baada ya Faragha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuoga baada ya Faragha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by stephot, May 24, 2012.

 1. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,001
  Likes Received: 2,615
  Trophy Points: 280
  Jamani nisaidieni kwenye hili,kuna jamaa yangu mmoja yeye ni mswalihina sana,katika story zetu tukafikia mahali ambapo alinishauri kuwa kila mnapomaliza faragha na mpenzi/mke wako lazima muoge,sasa nikamuuliza kama mtafanya mara 3au4au5 itabidi kila faragha uoge?akasema ndivyo inavyotakiwa na yeye hufanya hivyo,hebu wadau tuchangie kwenye hili au kupeana mawazo ni utaratibu gani hapa unafaa maana mimi naona itakuwa kama ni karaha hasa ukichukulia kuwa mabafu yetu wengine yanakuwa nje ya nyumba.
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usafi kwenye sex ni kitu muhimu sana, ni vizuri kuoga kila wakati mmeisha fanya sex.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni kama ulivyosema huyo jamaa ni mswalihina lakini ukweli ni huu, inatakiwa kila baada ya kumaliza tendo la ndoa mtu asitanchi yaani kujiosha kwa maji au kitambaa safi kabisa kabla ya kendelea tena.

  Mkimaliza ni shurti muoge nyote ili kuondoa janaba, kwa mantiki hiyo siyo lazima kuoga kila baada ya kumaliza hatua moja ila ni muhimu mazingira ya usafi yakawepo kama nilivyosema hapo juu ili kuondoa karaha kwa wenzi.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  mi sijui kwa nini maswali yanakuwa mengi sana kuliko vitendo.....

   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimeshamwaga mavitu hapo juu wewe cheki tu tehe tehe mzima lakini Preta?
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Si ndo ajabu, afu mtu anaogopa kuyafata maji eti yako mbali :cool2:
   
 7. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Usafi ni lazima..hebu imagine umetoka majasho then unaendelea bila kujimwagia maji huoni kama ni karaha??
   
 8. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kumbe huwa unawatoa watu majasho, we kweli machachari uwanjani :cool2:
   
 9. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Tena kuoga haswaa..ucmuachie mwenzio fungus..muhm kuoga kujfuta kwa ktambaa safi...kuondoa majasho na maharuf mabaya..msilambane uchafu..lol..
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kufanya sex ndo nini mkuu? funguka kwa lugha sawia na uliseme lilivyo.
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  na kuoga kabla ya tendo lenyewe je?? mana wengine unakuta ananuka jasho kikwapa kila sehemu....
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kama mnfanya kwa kushtukiza msioge, ila kama unakuwa na taarifa kuwa manaweza fanya si mjiandae?

  Kama bafu la nje, mnaweza ingiza ndani jacuzi la simba plastik, siku hizi ana mabeseni makubwa hata ng'ombe anatosha.

  Uvivu au kutoona umuhimu wa kuoga, kwanza hata kila cha asubuhi mnawezaje fanya bila pitisha maji baadhi ya maeneo hasa kuswaki?

  Dah, yaani mapenzi ni magumu mkiwa na mitizamo tofauti!
   
 13. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Una washa AC babu au feni jasho hapo kidogo sana.Unatupia 2 ukipumzika unaosha mdudu.Unatafuta gia no 3.Hiyo ukiipata lazima ukajimwagie maji kidogo.Gia no 4 utajiju mwenyewe kama ndo huna kazi ya kufanya endelea
   
 14. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ni kamchezo kakitoto flani kati ya mwanaume na mwanamke, kila mmoja kati yenu anajitahidi kumvuta mwenzake na mwingine kumsukuma :cool2:
   
 15. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  kamchezo kakitoto?ya kweli hayo?
   
 16. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Sa mbona umekasirka, kamchezo ka kikubwa basi :cool2:
   
 17. stroke

  stroke JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 13,355
  Likes Received: 6,539
  Trophy Points: 280
  WEIRD etii ee, embu chukua na hii, i got this from my friend who is a doc, akanambia , mara nyingi ukitaka kupunguza magonjwa ya kuambukiza kupitia ngono. oga haraka sana mara baada ya kufanya ngono..nadhani hiyo amri ilikuwa health wise pia..
   
 18. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Unafanya mapenzi na mwenza wako zaidi ya mara nne hadi tano ili iweje?

  Hivi kuna walio katika ndoa wanaofanya mapenzi zaidi ya mara nne kwa usiku?
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  hihihhiiiiiii mie bado mtoto, mnanikomaza humu ndani loh....
   
 20. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wapi muliza swali kasema kila siku...kasema kama mtafanya mara 3, 4 au tano hakusema kila siku.


  Afu kama mtafanya anakusudia siku mmeamua, na siku mkiamua mara nne au tano mnaweza sioni shida inategemea na uwezo wenu :cool2:
   
Loading...