Hivi why........?!?!?!

ukikua utaacha kuhangaika na watu wanaotumia ndude zao kujiongezea uhai.
 
Hii kitu inaboa kichizi....majitu nawo deyz yamejisahau kabsaaaaa, usiolewe/usioe tujue 1. U r in, be in ..u r out then stay ouuuuuuut!!!
 
hata tulivyokuwa la sita kila siku tulikuwa tunaambiwa elimu ufunguo wa maisha, unaona si walimu tumesoma.

Haya baresa huyo. . .
 
Halafu ukishatembea na mke/mme wa mtu dk 5 baada ya tendo unajisikiaje??!!cant imagine na inashangaza sana........sio mpaka tuwekeane:lock1:
 
Hivi kwann mke wa mtu, kwa nini Mume wa mtu?!?!?!
Starehe ya mda mfupi hiyo kumbuka, na ni kwamba unashindwa kucontrol ur desires!!!aaggggrrrrrrhh,achaa aa!!

super thinker wa wapi ambaye huwezi kutafakari ya kuwa ......hivi hujui kuchakachuana wengi wanapenda kwa sababu ya hofu ya kushikwa na kujipakaza mauchafu yao?
 
Last edited by a moderator:
me naitaman hyo superglue nimuwekee bamsapu /mapi/

Charminggirl.......hujui hiyo superglue ndiyo ambayo kesho nawe utakapokuwa unahitaji huduma ya kuzima kiu itakunyima maana njomba itakuwa kwenye kitanzi cha uhakika kabisa...............
 
Last edited by a moderator:
NAPITA TUU
flypig.gif.pagespeed.ce.-MJTaSTCWy.gif

nivea..............mambo kwani vipi? Au umemlambisha mume wa mtu kitu yako nini? ndiyo maana hili li nyuzi halikaliki kwako maana lakusuta, vile..........................
 
Last edited by a moderator:
mwenzio ajenge naee ahangaike nae wee ukiingia uingie kama mfalme au malkia kula vitu vyake...inakera saanaaa!!!!!
 
hahahah wewe chezea mume/mke wa mtu weye jicho la mtu hiloooo
 
Back
Top Bottom