Kwel nimeamini kikulacho kinguoni mwako..

RUKIA MEDDY

Member
May 20, 2012
5
2
Nilikuwa na rafiki yangu tuliependana sana...alikuwa ni kama ndugu yangu..ghafla alinibadilikia na kuanza kunidharau na hata kunituc..cku ya jana niliamua kumuuliza sababu ya mabadiliko yake hayo,alichonijibu nusura nizirai..alisema kuwa niachane na mchumba angu coz yeye ndo anammiliki na wanapendana sana so huwa anachukia ninapokuwa nae ndo maana huwa ananitukana..nilipomtafuta mchumba angu akawa ananikatia cm,nikamtumia text zaid ya tano but hajajibu hata moja...so niko njia panda naombeni mnisaidie....Thanx..
 
Mmh, kizazi cha akina Lulu ...

Sasa unataka ushauri gani? Kwani unahitaji kudiscuss kitu gani katika hilo. Kaa pembeni, mngojee yule ambaye Mungu amekuwekea.
 
hapo njia panda unatafuta nini?

Hebu anza upya, achana nao na kata mawasiliano nao ya aina zote.....

Mwisho kabisa kama una boyfriend macho juu mweke mbali na mashoga zako........
Na marufuku mashoga kuwa na access na mume/boyfriend wako......

Kumbuka...kila kitu kina mipaka, na epuka wanaume macho juu juu.....
 
bora huyo kakuambia, mshukuru sana.

Ila ningeweza kumwita na yeye akasema story yake ndio ningeamini.

Kuna wanawake wana mambo.

Ndo ukubwa!
 
Mazee si mpa akusikilize hawa wakisha penda ni balaa, kuna wengine mpaa wanakuhonga ili ubaki nao tu :biggrin:

ha ha haa tutamshauri wee
kumbe anawaza wapi apate mganga wa 'kumrudisha' jamaa lol
 
DUH! huu ushostito sa ingine mbaya sana mana unamuhadisia kila kitu hata weakness zako anakua anazijua zen yy anaenda kufanya kweli kwa msela bila kukosea mana unakua ka ushamfunda kwa kumuelezea kila kitu cha undani wenu so anakua anajua akigusa wapi jamaa chali
napenda sana huu usemi niliuona ktk gari (shoga mambo yote tuongee ila samahani mume wangu niachie)
 
Unadhani ataishia kwa waganga wawili watatu, sia ajabu kesho ukasikia yuko sumbawanga :biggrin:

kumbe kuna watu mnaimani hizo.duuh pole we.....tena poleni saaana...unajidai kusema kuwa nitaenda kwa mganga wakati ndo unanishauri niende kwa mganga kwa staili hiyo.....ha ha haaaaa kama huna la kushauri bora ukae kimya tu itakusaidia sana..:shock:
 
punguza hasira. kama hapokei simu msubili hadi aje ndo umuuulize. Ukute huyo huyo shoga yako ndo ana hiyo simu ya mpenzio so alikuambia hivyo kwa kuwa alijua utapiga simu. onana naye kama mlivyo kuwa mnatongozana muulize kwanini umenimwaga? nmekukosea nini my sweetheart?. kama vipi washirikishe marafiki zake wa kiume. by the way ulikuwa na mpango gani naye? au unapiga sana mizinga. kama utaona hasomeki njoo kwangu nipo single na umenivutia kweli kwa moyo wako wa upendo. unasemaje mrembo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom