Ni usiku mnene kama kawaida wengi wenye wenzi mmelala kupeana joto. Mimi nieona nimwache wa moyoni kidogo nije niwaulize maswali yafuatayo katika mapenzi.
je umeewahi hata siku moja kuomba ama...
Heshima mbele wakuu. Nipo kwenye lindi la mawazo kwani nimetokea kumpenda mdada mmoja ambaye tunaishi mtaa mmoja. Na nika amua kumueleza hisia zangu kwake akanijibu kwamba tayari nimechelewa...
Nikitizama nyuma naona michirizi ya damu, mioyo iliyoumizwa, nami ni mmoja wa wahanga. Nitakuwa muongo nikisema sijaumiza wengine na mimi. Nimekuwa na wanawake kadhaa, leo niwashukuru kwa...
wapenzi niko njia panda sijielewi, mimi ni mama wa nyumbani kwa0sasahivi sifanyi kazi yaani sina kipato chochote
namtegemea mume wangu kwakila kitu leo mume wangu amesimamishwa kazi
hapa nilipo...
Wadada wa JF habari zenu, naomba kuelimishwa hapa. Unakutana na msichana unajenga nae mahusiano na baadaye unamtongoza kwa ustaarabu na ujuzi wa hali ya juu. Anakupiga chini unabembeleza wee wapi...
Habari zenu wana-jf wababa,wamama,wakaka,wadada, rika langu na wengineo pia
Hili ni suala la ukweli hivyo basi uliyesoma hii thread naomba unipe mawazo yako ili nifanye maamuzi ya mbolea na yenye...
am a new here in jf. nambeni msaada wenu nimeingia kwenye relationship na mtu naedhani ananipenda but moyo wangu hauoneshi kumkubali najitahidi niwe nae karibu labda nitamuaccept lakini sioni...
. . . . Ilikua ni leo wakati nimerudi mapema baada ya kwenda kijiweni na kukuta leo hakuna kibarua cha kuponda kokoto,tajiri alikua hajapata tenda.Nikaja mpaka home na kujilaza kwa machungu...
Gay men keep talking about their sexuality. They feel insecure and unsafe all the time. Even when straights are least bothered. It's like pulling the tail or tugging at the tail of a sleeping...
Wana JF kwanza kabisa shalom. Ni jumamosi tulivu pande za hapa Dar na hali ya hewa ni manyunyu manyunyu! Nikiwa katika harakati za kumalizia vipolo vya kazini mara napokea simu kutoka kwa baba...
Hivi kwa nini mwanamke akitoka nje ya ndoa mara nyingi inakuwa ndo mwisho wa ndoa ila mwanaume akitoka nje ya ndoa(kusaliti) ugomvi unakuwa mdogo na ikiweze suluhisho hufanywa na ndoa...
Habar zenu wakuu,nimeambatana na mchumba wangu hapa tupo safarin kuelekea tanga kwa ajili ya utambulsho,jaman naomben maombi yenu nikubaliwe na hatmae tupewe baraka zote,
jaman mpenzi wangu alikuwa amezoea kutumia aina fulani ya lotion and she was look nice. sasa wik 3 nyuma, alikosa aina hiyo ya lotion dukan na kuamua kununua aina nyingine...unfortunately alianza...
Naomba tujadiliane juu ya haya mafunzo dada zetu wanayopewa siku kadhaa kabla ya ndoa, hususani huku mijini.
Je mafunzo hayo yanayotolewa kwa masaa kadhaa yanakidhi changamoto za ndoa? Kama kuna...
Ni Gf wa kaka yangu,juzi juzi kaka yangu kamkuta na hirizi kiunoni mwake..kumuuliza kwa nini anafanya yote yale,jibu alilompa ni kwamba anajiona c mzuri cna kama wanawake wa rafik wa kaka...
A new study carried out recently by psychology lecturers at the Western Canadian Undergraduate University, Canada, has disproved the myth that women gossip more than men. Studies have shown...
Hebu wapendwa tusaidie kuwachangia walau hata kipost 1 hawa wanaotafuta wenza humu,, kwakweli wengine inakua kama post zao zinazaraurika kbisaaa khaaa tusaidiane basi wapendwa!!! cheers
Sherri Dally
Michael Dally na Sherry siku ya ndoa yao
Michael Dally na Diana Haun
Diana, Michael na Sherry
Tokea mwanzo tangu taarifa za kupotea kwa Sherri Dally aliyekuwa na umri wa miaka...
Uutafanyaje endapo umeachwa na mtoto wa miaka 17 nyumbani na akaamua kusema kuwa umembaka? ni ndugu yake wa kike mkeo mtarajiwa na mkeo mtarajiwa anaamni kuwa kweli umefanya ivyo!nyumbani mliachwa...