Wenzi mwalifamu hili?!

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Ni usiku mnene kama kawaida wengi wenye wenzi mmelala kupeana joto. Mimi nieona nimwache wa moyoni kidogo nije niwaulize maswali yafuatayo katika mapenzi.

je umeewahi hata siku moja kuomba ama kusali kabla na baada ya kufanya tendo la ndoa? kama ndiyo waionaje amani na raha uipatayo kwa kuliombea tendo hilo na kama hapana unaonaje karaha uzipatazo kwa kutokumtanguliza Mungu wakati wa hilo tendo?
 
walio funga ndoa za halai sio?
na wanaoishi tu kienyeji?
na wanao date je?
woote wamshirikishe mungu kwenye kuvunja amri ya sita sio?

halafu unaomba mungu halafu unamwambia mwenzio 'tuanze na blow job'?
au inakuwaje? maana ukifuata sana dini hata blow job ni dhambi...au hata 'dirty talks' ni dhambi
 
The Boss, lazima wewe ni mzee wa kanisa kwa Kakobe,lol! Blow job ni dhambi? Kwani Bible imetoa manual ya nanihii?

Isitoshe, hata katika uovu wako kumuitia Mungu ni muhimu. Kumbuka wenye afya hawahitaji dr. Unatanguliza na toba kabisaa,lol!
 
Last edited by a moderator:

kumbe ni thawabu?
haleluya lol
 
boss mwenzi wako ni yule uliyefunga naye ndoa. sasa nakuuliza huwa mnasali wakati wa kutaka kufanya tendo la ndoa au la?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah lol! ndio hapo mdada anaweza kudai....Akhu! miye nimeshasali na Mungu wangu kanijia kwenye sala zangu kaniambia nisifanye...subiri mpaka akiniruhusu ndio nitakupa... gfsonwin kwa wale waliooana katika ndoa za kidini si tayari wamesharuhusiwa/kubarikiwa kufanya tendo hilo kila wanapojisikia? au inabidi kila wanapojisikia kwanza wapate baraka za Muumba wetu kwa kusali?
 
Last edited by a moderator:
mmh....sikatai ni kweli tumelala.....lakini sasa....mwee....hapana....siombi....
Preta heri umejisemea ukweli ila unapaswa kuombea kwani kunafaida nyingi kutokana na kufanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
The Boss, lazima wewe ni mzee wa kanisa kwa Kakobe,lol! Blow job ni dhambi? Kwani Bible imetoa manual ya nanihii?

Isitoshe, hata katika uovu wako kumuitia Mungu ni muhimu. Kumbuka wenye afya hawahitaji dr. Unatanguliza na toba kabisaa,lol!
King'asti miye mbavu sina. Binafsi sijsema kuwa hata katika uovu umshrikishe Mungu ingawa Mungu ni wa ajabu sana ukimshirikisha atakuwepo tu. ila je huwaga unasali na kuombea mali za mwenzio vizuri na kwa uaminifu?
 
Last edited by a moderator:
Preta heri umejisemea ukweli ila unapaswa kuombea kwani kunafaida nyingi kutokana na kufanya hivyo.

uwiiii....hapana....nitakuwa naweka petrol kwenye moto....but soon nitatubu na nitaanza kuomba kihalali.....asante kwa kutukumbusha.....
 
Last edited by a moderator:
sipati picha
unamaliza sala na kusema ameen,,,halafu unamwambia sasa mama kinachofuata ni 'chuma mboga'
geuka basi.....lol
boss hivyo ndivyo unavyoanzaga mchezo? .........lol! kumbe wahitaj shule ya jins ya kuanza mchezo eeh!
 
Last edited by a moderator:
Gfsonwin (na jina lako gumu ww sijui saa Mungu anakubariki huwa halikosei kulitamka akaishia kupata undelivered/error msg!), hili suala la kuomba kabla ya tendo la ndoa nililisoma kwenye Bible ile yenye 5 extra books (naiita ya kikatoliki?). Iliwahi kumuokoa kijana asiuwawe na mapepo.

On a serious note ni kitu muhimu cha kufanya, sawa na kabla ya kula chakula.
 
@gfsonwin.... heri umejisemea ukweli ila unapaswa kuombea kwani kunafaida nyingi kutokana na kufanya hivyo.

Utamu ukishanoga utakumbuka hata kusali kweli...sidhani hata mapadri/masheikh waliomo kwenye ndoa kama huwa wanasali ili kubariki shughuli hii muhimu
 
boss hivyo ndivyo unavyoanzaga mchezo? .........lol! kumbe wahitaj shule ya jins ya kuanza mchezo eeh!

wewe weka shule ya 'sala na maombi hapa'
shule ya mchezo tuachie tu
wengine hawapandi mchezoni bila wine au beer kwanza
sasa sijui utawaambia waombe kitu gani?
 
Utamu ukishanoga utakumbuka hata kusali kweli...sidhani hata mapadri/masheikh waliomo kwenye ndoa kama huwa wanasali ili kubariki shughuli hii muhimu

na hii sala ni wakati gani?
kabla hujamgusa mwenzio?
au mnavua nguo ndo mnaanza sala?
au mnasali sebuleni?
mbona inafanya zoezi zima kuwa so predictable and boring?
 
Hahahahahah lol! ndio hapo mdada anaweza kudai....Akhu! miye nimeshasali na Mungu wangu kanijia kwenye sala zangu kaniambia nisifanye...subiri mpaka akiniruhusu ndio nitakupa... gfsonwin kwa wale waliooana katika ndoa za kidini si tayari wamesharuhusiwa/kubarikiwa kufanya tendo hilo kila wanapojisikia? au inabidi kila wanapojisikia kwanza wapate baraka za Muumba wetu kwa kusali?

jamani am very serious as a christian kila mnapotaka kufanya yawapasa kusali, na pia mmalizapo. iko hivi Mungu katika biblia 1kor7:1-6 ameruhusu minimum ya mabao mawili mnasali kwanza kisha mnapiga game. mkimaliza mnashukuru na kumkemea shetani. baadae mnarudia tena shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu. kumbuka kuwa katika kusali mnaharibu mipango mini ya ibilisi juu ya endo lenyewe na juu ya nyumba yenu kwa ujumla.

nimefikir kuwa yawezekana tungekuwa kila mtu anasali kama ilivyoagizwa basi shetani asinge tujaribu kwa kutokuwa na kiasi kwetu hadi kutoka nje ya ndoa.
 
Wale mnaomalizia sebuleni, jikoni ama bafuni mtaulizia sala ni at which stage....
Hehehe, The Boss, inaelekea unamaanisha sala ni kwa missionary position tu eeh?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom