For those bible readers...this might come in handy for you....just thought its worth sharing.
The Character Traits of a Godly WifeProverbs is most specific with regard to the qualities of the...
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM.
Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam, mpole na mwenye kujiheshimu...
yeah..if you thought honesty is the best policy you thought wrong.yamenitokea puani jamani.
so i kissed another guy and to God i swear it meant nothing at all. i was feeling neglected, told him...
A jua kali artisan from Muranga County recently used a dozen pair of underpants of different colours and sizes to get his wife rushing back to his house after she had ran away. The wife had...
WanaJamvi Salaam
Mara nyingi kwenye mahusiano/ndoa kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu unaelezwa kuwa ni kipimo cha kupima kama mwenzio anakupenda ama la. Japo wengine wanadai wivu ni kutojiamini katika...
Leo nina kisa nataka kuwasimulia.
Bwana mmoja alikuwa amekwenda kazini kama ilivyo kawaida yake, akiwa ndio anafika kazini akapigiwa simu kujulishwa kwamba nyumba yake inaungua. Bwana yule...
Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??
Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)
Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
Guys I have been approached with the question above from somebody who was locked out of his bedroom by an angry wife after an argument over an issue. The guy ultimately broke into the room. What...
haipiti siku humu ndani lazima aje mtu
kutafuta mchumba humu ndani.....all in all
ni jambo zuri kama huyo mtu yuko serious....
sasa kinachonishangaza ni kuwa huwa hatusikiiii
chochote kile...
Habari zenu wanajf.
mimi ni mschana,nina elimu ya degree, ni mkristo, natafuta mchumba mkristo asizidi miaka 33.
Naomba sana unitumie sms, usipige simu tafadhali maana nipo kazini muda wote. Sms...
mpaka sasa nina miaka 35 na sijaoa ingawa natamani sana kufanya,nimedanganywa na wadada wawili,kila mmoja kwa wakati tofauti,sasa naogopa kabisa sasa sijui nifanyaje na kuoa nataka lakini...
Kuna propaganda za hovyo kuwa watu weusi wamelaaniwa na Mungu,sijui dhana hii imeanzia wapi,lakini iwe iwavyo mwanzilishi wake lazima atakua anawaogopa watu weusi,huwezi kukianzishia kitu au mtu...
@arusha, mama mchagga,baba mngoni.
my boyfriend /Ole MANIANIA yupo safarini (ubelgiji) na awali aliniambia atakuja likizo baada miezi mitatu baadae akanjulisha hawezi kuja Tz kutokana na ukata...
kwa wale ambao ni wana jamvi nawasalimu kwanza wakubwa SHIKAMOO na rika langu HABARI YAKO MSOMAJI!.
Ninaomba kwa wale wanaotoa maoni yao au wanaoandika "threads" uzi kwa jina lingine hapa...
Am Johnson, nina miaka 32, elimu ya chuo kikuu,ni mwajiriwa.
Nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1. Elimu; kuanzia kidato cha nne
2. Mwonekano; asiwe mwembamba sana, mfupi sana, wala mrefu...