Seriously Natafuta Mchumba

Baby C

New Member
Jul 21, 2012
2
1
Habari zenu wanajf.
mimi ni mschana,nina elimu ya degree, ni mkristo, natafuta mchumba mkristo asizidi miaka 33.
Naomba sana unitumie sms, usipige simu tafadhali maana nipo kazini muda wote. Sms zote zitajibiwa.
 
Wishing u all the best! Ila ungekua mpana kidogo! Weka umri wako, Uzito na urefu wako. Pia ainisha kiwango chako cha ustahimilivu katika matatizo, mambo usiyoyapenda kwa mwanaume nk. Funguka!
 
0767 213079.
uchumba ni serious case sasa post yako imekaa kuwajaribu watu halafu unasema mda wote uko kazini hapo pana uchumba kweli au unataka kuwaliziana tu vocha funguka zaidi huwezi pata mtu kwa staili hiyo
 
Habari zenu wanajf.
mimi ni mschana,nina elimu ya degree, ni mkristo, natafuta mchumba mkristo asizidi miaka 33.
Naomba sana unitumie sms, usipige simu tafadhali maana nipo kazini muda wote. Sms zote zitajibiwa.
0767 213079.

Hii ndio sifa pekee ya kujitambulisha?Au unatafuta houseboy?
 
Wishing u all the best! Ila ungekua mpana kidogo! Weka umri wako, Uzito na urefu wako. Pia ainisha kiwango chako cha ustahimilivu katika matatizo, mambo usiyoyapenda kwa mwanaume nk. Funguka!

umenena mkuu.
 
Sa mbona kila anaeweka tangazo kama hilo anakosea kitu flani cha msingi sana na kuharibu maana nzima kusudiwa ya tangazo au ndo mtego ili mtu aki respond positively uanze kumpanda kichwani eti kisa ulisema tangu mwanzo uko busy time yote,sa mi niko interested under both assumptions kwa iyo dada UMEPATA
 
Habari zenu wanajf.
mimi ni mschana,nina elimu ya degree, ni mkristo, natafuta mchumba mkristo asizidi miaka 33.
Naomba sana unitumie sms, usipige simu tafadhali maana nipo kazini muda wote. Sms zote zitajibiwa.
0767 213079.

kama muda wote upo kazini huyo mchumba wa nini?maana hata muda wa kuongea nae sidhani km unapatikana.
 
Mi nitakutumia mwaya maelezo marefu wanayoyadai wadau wenzangu hapo juu nitayapata hukohuko mbele ya safari...
 
Habari zenu wanajf.
mimi ni mschana,nina elimu ya degree, ni mkristo, natafuta mchumba mkristo asizidi miaka 33.
Naomba sana unitumie sms, usipige simu tafadhali maana nipo kazini muda wote. Sms zote zitajibiwa.
0767 213079.
Sasa tutaibanjuwa amri ya sita saa ngapi?? Aaarrghh!!! Nina vigezo lakini hunifai.
 
Habari zenu wanajf.
mimi ni mschana,nina elimu ya degree, ni mkristo, natafuta mchumba mkristo asizidi miaka 33.
Naomba sana unitumie sms, usipige simu tafadhali maana nipo kazini muda wote. Sms zote zitajibiwa.

good luck sis...
 
mbona cjaona namba ya simu au nina makengeza? Ni Pm bac 2lianzishe
 
anatafuta mchumba! iyo amri ya sita muibanjue yanini? akiwa mkeo mtaibanjuwa hadi utampenda mkeo..... au ndo uchumba wa zama hizi upendo unapimwa kwa kuitangua amri ya sita????????
 
mbona cjaona namba ya simu au nina makengeza? Ni Pm bac 2lianzishe

Hujaiona hiyo 0767213079, kwenye original post yake iliyoqoutiwa na wadau hapo juu!

Kwa huduma ya Mpesa tu, unapata majina aliyojisajiri. Kwa msaada wa google unapata kumjua kiasi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom