Tabia ya kuhonga Wanawake...

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,408
Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??

Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)

Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
 
Attachments

  • pesa.jpg
    pesa.jpg
    12.6 KB · Views: 182
mwana wala usiogope kuhonga as long as unapata K...watoto wenyewe wengi hupenda mwanaume anaye muhonga na kumcare ajalishi kama unampenda au wewe upo kistarehe zaidi...so honga na make sure u hit that badly!!!
 
kuhonga ni kumsaidia mtu ili upate kitu fulani,kuhonga ni kama rushwa ina faida na hasara zake,hasara ya kwanza kuna watu wanaonga nyumba wakati yeye anapanga,au ukaonga gari wakati wewe hauna,au ukaonga pesa wakati familia yako inataabika,kama unampenda mtu ukweli ruksa kumuonga lakin tuna jina lake ni kama takrima,twaita kucare yan kujali,neno kuonga limekaa vibaya,na linasababisha ukaitwa buzi,atm etc
tumia jina la kucare,kupunguza makali
 
Ngoja nijifiche nione watu wanvyo kana kutoa pesa kwa wana wake!

Kwangu mimi si kuonga ni kutoa pesa kama ishara ya kusaidiana pale inapo bidi.
 
Boflo, mi huwa nahonga pale tu kabla sijakashusha kale kakaptura kadogo, sijui kanaitwaga bikini, sijui g string...Nikisha chungulia tu uvungu, napanda bei na ninakuwa sikamatiki kama nyama ya nguruwe pori
Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga??Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti)Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
 
Last edited by a moderator:
Boflo, mi huwa nahonga pale tu kabla sijakashusha kale kakaptura kadogo, sijui kanaitwaga bikini, sijui g string...Nikisha chungulia tu uvungu, napanda bei na ninakuwa sikamatiki kama nyama ya nguruwe pori
Sasa mm nikija kuona mashine safi......huwa naongeza dau la ziada
 
mwana wala usiogope kuhonga as long as unapata K...watoto wenyewe wengi hupenda mwanaume anaye muhonga na kumcare ajalishi kama unampenda au wewe upo kistarehe zaidi...so honga na make sure u hit that badly!!!
hahaahah...i like
 
Du mm huwa nahonga maana wanasema Peyeza Rupia uondoe Udhia, ni mwanamke gani ambaye atapoteza muda kuvurugwa wakati akijua ww ni Mume wa mtu?
Yaani hata kinywaji na room yenye bed nzuri ambako kuna SIRI nakwambia hakupi hata km anakupenda vp! ww mwaga Chonee km hata uchochoroni hajakupa
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom