Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki kisa nimekifanya siri/vumilia kinantesa ni nafuu nikiseme kinitoke kichwani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Marytina, Dec 21, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  @arusha, mama mchagga,baba mngoni.


  my boyfriend /Ole MANIANIA yupo safarini (ubelgiji) na awali aliniambia atakuja likizo baada miezi mitatu baadae akanjulisha hawezi kuja Tz kutokana na ukata may be baada ya miezi sita

  imepita miezi mitano mdogo wake wa KIKE (baba mmoja mama tofauti) ni rafiki yangu wa siku nyingi karudi likizo.Ikawa tumetoka wote ilikuwa mwezi wa kumi jumamosi kuhudhuria harusi flani, tulichelewa kurudi home ikabidi alale kwangu.

  Tukaoga fasta akachukua manukato anayotumia kaka yake akajipulizia kuingia kitandani kutafuta usingizi akaniuliza KWA NAMNA GANI NAVYOMMISS KAKA YAKE, akaniambia anatamani kuwa Ole MANIANIA, mara akaniwekea mkono kwenye ziwa na kuanza kuli........NIKAPANDWA HASIRA ila akanisihi ni try to imitate she is ole MANIANIA, hilo lilikuwa kosa kubwa manake as nilipobeep to imitate nikajikuta nimemvutia mdomoni denda denda,nyonyana ulimi, mpaka tukatimiza vifungu vyote


  My take:Hiki kisa nimekuvumila ila ni bora nikiseme ili kinitoke kichwani kwani kinanitesa
  note:Mdogo wake wa kike na sii wa kiume
   
 2. bht

  bht JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  yeomii....!
   
 3. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Siyo wewe uliyesema boyfriend wako ni jambazi mwenye mshiko?Ukawa unataka ushauri?
  Nisamehe kama nimekosea.
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  naandamwa sana na hili kosa ingawaje raha niliipata
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Pole bana,labda ukame ulikuzidia,mlikumbuka kinga?
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Sijui nikieleze nini kizazi hiki, katubu tu ndugu yangu, uuingie mwaka vizuri! Umetembea na shemejiyo? Lohh!
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Yaani shemejio ukalale naye kitanda kimoja?? Kwako huna makochi sebuleni?

  Marytina ama kweli
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hi!
  pls usome tena ile sredi. Nilieleza kisa ya shosti yangu aliyevusha umri wa kuolewa mwenye bf jambazi. Nilieleza wazi kwamba namsemea/speak on behalf ya my shosti
   
 9. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nakutaka, unasemaje?
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sio shemeji yangu ni wifi yangu
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii imekaa kistory zaidi na kwamba sidhani kama ni kitu kilichokutokea kweli
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ukifuatilia visa vya Marytina vyote ni vya kumegwa au kumtafuta mtu wa kummega!! Mumeo/boyfriend wake ana hasara sana!!!
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  labda ungesema unanipenda na sio unanitaka
   
 14. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  duh wewe sikiliza bwana haya mapenzi ya mbali sio mapenzi kabisa...wala usijilaumu huyo jamaa kakuweka majaribuni sana na wewe ni mwanamke mwenye mahitaji...so ndio hivyo. let he come and pick up the remnants of wat used to be a relationship. hahahha
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ok wewe ndiye star wa jukwaa la science and technology.
  wapi kwenye hii sredi nilipomegwa???????
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sio shemeji bali nilisagana na wifi yangu
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Dec 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Sasa tatizo lako hasa lipo wapi hapo?
   
 18. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #18
  Dec 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kumbe wewe vile vile ni lesbian? ngoja niedit original post!!
   
 19. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #19
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vipi Marytina, bado unatamani kumegwa na huyo wifi yako? Au nitoe msaada?
   
 20. M

  Marytina JF-Expert Member

  #20
  Dec 21, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  napokaa na kuiwazia dhambi ya kusagana
  najihisi nina dhambi kumzidi OSAMA
   
Loading...