Natafuta boyfriend mwenzenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta boyfriend mwenzenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by IHANDA, Aug 12, 2012.

 1. IHANDA

  IHANDA Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
   
 2. m

  mabamba Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utapataje bila mawacliano?
   
 3. m

  mareche JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  me nipo nipm nikupe cv yangu
   
 4. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 671
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  bach ndo nini..embu nenda shule wewe achana na wazo la kuolewa
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,886
  Likes Received: 5,130
  Trophy Points: 280
  una kazi?
   
 6. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,065
  Likes Received: 1,664
  Trophy Points: 280
  Mmmh! Mi huwa na wasiwasi sana na Madada watafutaji wa mitandaoni... Kuna je?,why?,alitokewa na nini?.

  Anyway Good Luck.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,288
  Likes Received: 4,258
  Trophy Points: 280
  Mie hapa, come this way bishosti
   
 8. K

  Keagan Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eh mbona km ulinilenga mimi kabsa?Haya Embu nipm haraka uwahi bahati isikupite..ukichelewa utakuta mwana si wako!!
   
 9. IHANDA

  IHANDA Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  yah, mimi nimeshasoma na nimejiajiri mwenyewe. umefika wakati wangu wa kupata mwenzangu wa kuishi naye
   
 10. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 7,922
  Likes Received: 499
  Trophy Points: 180
  Du Dada unataka awe na miaka 25 na awe na Bach na awe na kazi? au ni mwanafunzi mwenzako maana km STD 1 alianza na miaka 7 basi hadi Eng ya miaka 4 atakuwa na 22 ukipewa underpro kazini kwake ni mgeni sana kimaisha, sikubishii ila tafuta na mkubwa kuongeza angalau 30 la sivyo ww utammilki
  no. yako mbona ni zile zilizotolewa kwenye gazeti lililofungiwa na nimepiga haipatikani hebu fungua km sio za uwt
   
 11. Root

  Root JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,886
  Likes Received: 5,130
  Trophy Points: 280
  kama umesoma elimu yako ni Chuo,A/O level maana umesema umesoma na umejiajiri hapa niko na doubt au tuseme we mkubwa
   
 12. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mbona sioni kama kaweka namba za simu?
  Au kaku'PM????
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  mbona mie ndio Talia??

  Huyu ni Janneth.

   
 14. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,837
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  taja elimu yako plz
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  wee binti hujui utakalo, maana hata vigezo vyako si realistic sana.

  Miaka 25 awe na kazi na bachala digirii??

  Hamo!
   
 16. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,452
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  ivi nyie kumbe mpo yan nawatafuta mbaya...ok fanya kweli ni-PM fasta,ila kabla ya hayo nina umri wa miaka 37,nimeishia darasa la tatu,kuhusu dini usihofu niko formation center!!!
   
 17. mwakajila

  mwakajila Senior Member

  #17
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kongosho acha kunibania nipo hapa...mpenzi ihanda ebu ni pm basi nakusubiria....
   
 18. K

  Keagan Member

  #18
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eh talia hadi huku nje unanifuata?I thought it was just a strategy for winning the game?Au kwa kuwa nimeshnda?
  Now i knw money is luring!

  Well baby usimskize kongosho
   
 19. K

  Keagan Member

  #19
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 6, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona haunipm baby ihanda au mpk nianze kusubstantiate vigezo? Hahah lets not throw rice among many chickens...(hii ni ‘tafsiri sisisi‘ ya tusimwage mchele kwny kuku wengi)
   
 20. B

  Bibi yaga Member

  #20
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Miaka 22 ameshaanza kupagawa mpaka anatafuta wachuchu mitandaoni.. Angalia binti weee bado mdogo utapata hao hao unaowaona huko makazini. Ukifika miaka 27 hujapata ndio uje hapa Jf.
   
Loading...