Kwa ndoa kama hizi TACAIDS kazi mnayo. Maturubai yanaweza kufungwa muda wowote hapa duuhhh.
Kwa ndoa kama hizi TACAIDS kazi mnayo. Maturubai yanaweza kufungwa muda wowote hapa duuhhh.
Aisee hiyo ni kweli kuna mshikaji maeneo ya Kawe ni mtumishi wa TACAIDS anatumia pesa zake vibaya kwa kudili na mabaamedi wapya wanaoanza kazi maeneo hayo na wake za watu.tunda la rohoooooo! tatizo na hao TCAIDS na wenyewe ni kama hawa wanandoa wawili. wanatoa mafundisho kisha wanapitia mlango wa nyuma kula raha!
Nakubaliana nawe kwa kiasi fulani lakini huoni kaasilimia ka uongo kwa mama?. Nikimwangalia kweli anaenda anakokuita kanisani lakini hayuko na dada yuko na kaka. Lakini na huyu polisi ni mkali wa kazi.Hakuna, si unaona huyo alie chukuliwa kachukuliwa kweli
na huyo anae enda kanisani anaonekana yuko njiani kweli.
Wanafaana, they deserve each other.