Salim, Natafuta mchumba

DSpecial

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
480
158
Naitwa Salim Athuman, umri wangu ni 27, kwa imani ni Muislamu na kwa sasa ninaishi DSM.
Nahitafuta msichana mwenye umri kati ya 22 hadi 25 na sifa kubwa awe Muislam, mpole na mwenye kujiheshimu na kujistiri(Mwenye kuvaa mavazi ya heshima).
Itakuwa vizuri awe mweupe/ maji ya kunde, mrefu kiasi na mnene kiasi na mwenye elimu at least diploma.

Dhumuni kubwa ni kuwa mchumba wangu kwa sasa na hatimaye Mungu akipenda tuje kufunga ndoa na kuishi pamoja
hapo baadae. Kiukweli nimevumilia sana kuwa mwenyewe kwa kipindi chote nilichokuwa nasoma, japokuwa kwa sasa bado naendelea na elimu zaidi ila nahitaji na mimi kuwa na mwenza wangu. Tafadhali kama upo tayari kuwa nami naomba
tuwasiliane.

email yangu: salimathuman78@yahoo.com

Namba ya simu itafuata baada ya kujuana vizuri
 
@DSpeacial, nikibadili dini utanikubali?

huo upole unataka uwe upole kwenye vote?
 
napita tuu!!!??

Ahh! Princess enny! Usijifarague bana..sema tu neNo kwa kijana yanini kujipitisha? Erotica na Kaunga wao wameamua kumchapa maswali kijana, hawajamjibu kama wako tayari au la!

Mie mie langu neno ni ...KILA LA KHERI KIJANA PANAPO MAJAaLIIWA, NJOO USHUKURU JAMVINI
NAELEKEA MTAA WA PILI JAMANI.
 
Dumelang niache mi nipite!!:llama:tena nlishafka mtaa wa saba!!!
 
Bado Natafuta wife jamani, kama yupo tafadhali naomba ani PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom