Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani nilikuwa na mchumba wangu siku si nyingi zilizo pita lakini siku zilivyo endelea mbele nikaja kugundua sio mwaminifu kwangu nikimuuliza swala lolote lile anakuwa mkali na kuniambia eti...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Dar Es Salaam, Tanzania Mwanamke mmoja amerudi kwa wazazi wake akilalamika kwamba "jogoo" la mumewe ni kubwa sana. Mwanamke huyo mkazi wa jijini aliwashangaza ndugu zake waliofika nyumbani...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Jamani kuna udaku nimeskia eti kuna babu wa miaka 70 amefumaniwa na mpangaji wake kule Sekei, Arusha. Naskia eti hii stori imetoka kwenye gazeti la RISASI la wiki iliyopita. Naombeni mwenye...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Every Girl's Dream.. 1.Getting Kissed In The Pouring Rain. 2.Have The Hot Kiss Where You are Pressed Againts The Wall. 3.Have The Guy That Thinks You Are The World. 4.Have A Good Guy That...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Watu wananishambulia .mwanaume pesa ndio maana mna chitiwa.elimu muhimu lakini iwe inaingiza pesa .
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nataman nikamuambie hivi "Mpenzi wangu nakupenda ila tatizo linakuja pale unapotaka kunibusu yaani ndevu zako kali kama pin huwa unanichoma pindi unaponibusu maeneo fulan ya mwili wangu" Kweli...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Sawa ni wajibu wetu kuwapikia,sawa ni wajibu wetu kuwafulia,sawa ni wajibu wetu kunyoshea nguo,sawa ni wajibu wetu kulea watoto,sawa ni wajibu wetu kuweka vyumba na nyumba nzima safi,sawa ni...
3 Reactions
90 Replies
7K Views
A Poetry Competition asked For A 2-Line, Rhyme With the Most Romantic 1st Line & the Least Romantic 2nd Line, There's the Winning Rhymes ...... 1:My darling, My Love,My Beautiful Wife 2:Marrying...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
WanaJF wenzangu natumai hamjambo kabisa.Ni story ndefu sana ila nitajitahidi kuifupisha. Ni mkasa (ugomvi) ulioikumba familia yetu kuanzia mwaka 2000 kati ya mama yangu na baba yangu. Kwa...
10 Reactions
63 Replies
7K Views
Ee bwana nahitaji ushauri wenu wa kauli kuna demu mmoja nimemzimia sana nimemu sms akaniambia atanijibu nikamfuaja home kwao nikamwambia anijibu akasema atanijibu kwenye sms mara akaniambia kazi...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Huwa tunashuhudia vituko vingi vinavyotokana na uhusiano au ndoa. Hebu fikiria kwamba umemchoka mpenzi wako na unamwambia au kumwonyesha kwamba, humtaki tena, wakati yeye anahisi na kuamini...
9 Reactions
32 Replies
6K Views
Mwanaume lazima ujue mapenzi na uwe na pesa utafurahia maisha .uwo ndio ukweli
1 Reactions
33 Replies
3K Views
kwa namna moja ama nyingine it makes mi not to live with a woman yaani mke kwani always in ma age with two good prepared gel to be ma wife 4 different vipinds they all end up marrying other men...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
mambo vipi wana jf? kiukweli nampenda sana huyu malaika, the way she is! but unfortunately haamini maneno yangu, sijui kwa nini, ushauri please........what can i do to ensure her that i am in...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Yan unakutana na mdada unavutiwa nae unapenda awe rafiki yako. Unamwaga sumu zako. Kabla hata hajalainika vizuri anaanza kutaja shida alizonazo.. Mara ooh sijala.. Kodi imeisha natakiwa nilipe...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari za kazi wana MMU, Leo nimesikitishwa na wanawake wawili hapa kazini wanao gombea mwanamme mmoja,kwanza ilikua wanafanya siri Mpaka ikawa kila mmoja anamjua mwenzie sasa yakaanza mashindano...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Love is a temporary madness, It erupts like an earthquake and then subsides. And when it subsides you have to make a decision. You have to work out whether your roots have become so entwined...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
niliwahi kuikuta hii mahali ''My mom only had one eye. I hated her... She was such an embarrassment. . She cooked for students & teachers to support the family. There was this one day during...
2 Reactions
1 Replies
957 Views
Ndio nilikuwa nimetia timu jijini Dar kwa mara ya pili mnamo mwaka 1989 baada ya mara kwanza kuja na kuchafua hali ya hewa nikiwa kwa kaka yangu na kupigwa patresheni kijijini. Safari hii...
20 Reactions
65 Replies
7K Views
Back
Top Bottom