Wanaposema wanaume adimu inamaanisha wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaposema wanaume adimu inamaanisha wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Natalia, Aug 30, 2012.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mwanaume lazima ujue mapenzi na uwe na pesa utafurahia maisha .uwo ndio ukweli
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  khakuna mchungaji humu??

  Kaunga, kwa mara ya kwanza natamka 'pepo'
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. by default

  by default JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  We dada nakuona flip flop umu ndani.unamsongo wa mawazo bila shaka
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Masuala ya wanaume adimu
  yanakwenda sambamba na unemployment rate.....ya nchi husika
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280

  Masanilo atamfaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  huyu wa kuombewa nahisi ana stress..
  toka asubuhi ni yeye na wanaume, wanaume na yeye..unaboa bana!!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  . ` ` ` .
  . ~ ~ .
  . ~ .
  . _ .
  []
  []


  pole Natalia,
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mi nilikuwa bored af nikachukia sa hizi namwonea huruma huyo mwanaume!
   
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  nadhani ni thread ya saba..ukiangalia ni yale yale tu!
  sasa jamvi tunalipeleka wapi??
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,841
  Trophy Points: 280
  Kongosho naomba nifanyie collection ya nyuzi za natalia za leo tu kisha nitamwambia kitu please nisaidie. naona anachzika mwenzenu tumuokoe mapema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,841
  Trophy Points: 280
  anaitwa DaJane wa ----mboya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,312
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  Natalia leo uko juu mwendo huo huo,ukiona vp ni PM ili upate PEACE OF MIND. Leo ni siku ngumu kwako!
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,841
  Trophy Points: 280
  uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanaume mnaua huyu mtu jaman mpeni liwazo lolest!
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Uko sahii kabisa...ndio maana wakati wengine wanagombaniwa wengine wanatolewa nje.
   
 16. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Sasa niwe na pesa, halafu nijue mapenzi.... pesa itatumikaje hapo sasa!!!! Nikishakuwa na pesa watakuja wengi tu kwa kutaka hizo pesa, sina sababu ya kutumia nguvu.
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Unastahili maoombii eheee wengi wameombewaaaaaa!!! Ndio ukubwa huo kuumizwa kupo,next time ukiwa in relashionship usiingie mazima!!
   
 18. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ndio hivyo uwe na sifa hizo mbili au moja kati ya hizo...lakini huna pesa...haya mapenzi hujuhi...afu na wewe unatumia usemi wanaume tupo wachache...huu usemi hauwahusu wanaume wote ni wale wenye sifa kati ya hizo au zote.


   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  hahahaha mapenzi aka malovee aka makopakopa si mchezo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,728
  Likes Received: 12,797
  Trophy Points: 280
  Natalia kwa nini nawewe usitafute pesa! Alaf thread zako zote main point ina fanana!
   
Loading...