Dawa ya mwanamke anayeng’ang’ania kutaka kuonja penzi la mkeo?

sijaelewa, yaani mwanamke anayetaka kushare penzi na mkeo??? khaaaaaaa mishangao itaendelea kunishangaza milele amina! lolest!
 
ipo sawa,penzi la mkeo ni kwamba mwanamke anang'ang'ania kuonja penzi la mume wake.
mbona heading inasema ''Dawa ya mwanamke anayeng'ang'ania kutaka kuonja penzi la mkeo?'' inaamaanisha mwanamke anataka kumuonja mke wako (yaani mwanamke mwenzie) na wewe (mume) unaomba ushauri, au sisi sote hapa hatujui kiswahili

EDIT:kumbe heading imekosewa!! anyway, kizuri kula na nduguyo lol


 
huyu ni mwanaume,kuna mwanamke anamtaka wakt yeye ana mke so afanyeje?au na mm nimebugi?
 
Dawa mwambie mkeo, (Ya wanawake waachie wenyewe wamalizane utajiumiza kichwa bure)
 
ok let me change it DAWA YA MWANAMKE ANAYENG'ANG'ANIA KUTAKA KUONJA PENZI LA MUMEO?

usiwe na kichwa cha panzi dogo..weka heading vizuri kama imekosewa,kama iko sahii toa maelezo sio unaleta mambo yako mbofumbofu hapa..c kila mtu ni kilaza kama wew humu jamvini...shabash..!!!
 
Back
Top Bottom