Mume atalikiwa sababu ya "rungu" kubwa

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Dar Es Salaam, Tanzania

Mwanamke mmoja amerudi kwa wazazi wake akilalamika kwamba "jogoo" la mumewe ni kubwa sana. Mwanamke huyo mkazi wa jijini aliwashangaza ndugu zake waliofika nyumbani kwake alipowatobolea kwamba hawezi kuvumilia "kugongwa" na "rungu" hiyo kubwa ya mumewe.

Awali gazeti la "Kasheshe" lilieleza kwamba, mume alilalamika kwa ndugu za mkewe akisema tangu wafunge ndoa miezi minane iliyopita, alifanikiwa kufanya nae tendo la ndoa siku moja pekee. "Mke wangu amenishangaza. Tangu tuoane miezi minane iliyopita alinipa unyumba siku tuliyofunga ndoa tu. tangu hapo amekataa kabisa kunipa haki yangu.

Kila nikimuomba anasema eti mimi si size yake", akalalamika mume. Mkewe alipoulizwa na ndugu zake sababu ya kumnyima mumewe chakula cha ndoa, aliwashangaza zaidi alipowaambia kwamba mumewe ana uume mkubwa sana ambao ameshindwa kuumudu.

"Aliniumiza sana siku ya kwanza na siwezi kuvumilia tena. Anipe talaka yangu nirudi kwetu", akasema mwanamke.Juhudi za ndugu hao za kumsihi dada yao ajaribu tena kufanya tendo la ndoa na mumewe wakimwambia atazoea maumbile yake, hazikufua dafu.

***********************************
 
Source ya hii habari inanifanya nisiiamini hii habari.
 
kugongwa mara moja tu anakimbia...huyo binti anajishembendua tu, njia hiyo hiyohiyo mtoto anapita sembuse
'mkuluju wa babu" aka "rungu" aka "mguu wa mtoto"
 
Good for her, tendo la ndoa linapokuwa karaha hakuna faida ya ndoa hapo!
Ndio umuhimu wa kutaste kabla ya commitment unapoingia.
Kaunga
kumbe kuTEST ni muhimu..uh?
so sex before marriege...YES!
 
Last edited by a moderator:
kugongwa mara moja tu anakimbia...huyo binti anajishembendua tu, njia hiyo hiyohiyo mtoto anapita sembuse
'mkuluju wa babu" aka "rungu" aka "mguu wa mtoto"

Upitaji wa mtoto unaprocess zake na kuna mahormone kibao yanahusika, muulize ticha gfsonwin akuelimishe!
 
Last edited by a moderator:
ukubwa/ udogo wa jembe ni jinsi linavyoshikwa na mlimaji!inawezekana jamaa akawa wa kawadia sana lakini hajui kutumia mibaraka yake!
 
Na hiki ndicho ninachosema hapa
Ukubwa unaudefine vipi
je kulikuwa na maandalizi ya kutosha kabla ya tendo au ni paramia ya jogoo na mtetea
 
Hapo ni woga wa huyo binti tu naona pia hata mmewe alikuwa anamuogopa maana angempata kichwa maji angeshapata hata mimba kwa mtarimbo huo huo!!!!!
 
Story above
na kwamba kweli kuna that issue au wasiojua namna ya kufanya mapenzi ndio watalalamika that issue

Siwezi sema hiyo story ni ya ukweli
lakini situation kama hizo zipo; sasa sijui kuna ujuzi wa kufanya mapenzi (kama una maumbile makubwa) na usimuumize mwenzio? Umeshasikia kunawatu wanavalishwa pete? Hiyo husaidia kuwazuia wasiingize yote maana nafikiri wakizidiwa na utamu wanasokomeza tu.

Najua kwa ujuzi nafikiri unaongelea kumuandaa msichana na vitu kama hivyo, hiyo ni normal na kubwa kiasi thing, lakini kwa hizo za pete rafiki yangu; watu huomba ruhusa ya kwenda kususu na kupotelea moja kwa moja.
 
Kaunga I agree with you kuwa wapo watu wa aina hiyo
Ila wote mwanamke na mwanaume wanapaswa kujua kuwa kuna issue kama hiyo na kujitahidi kujizuia kufanya kitendo ambacho kitamuumiza mwenzake
nafikiri ni namna tuu ya kufanya mapanzi inayowez akuwafanya waweze kuridhishana kila mmoja wao
 
Last edited by a moderator:
Try before you Buy....mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia sio kabisa, ndo naoa halafu nikute k kubwaa naingia mzima mzima, unafikiri watu watanielewa nikienda kuomba kuachana ?
 
Back
Top Bottom