Wanawake wenzangu ni bora mwanaume mwenye pesa au elimu?

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Watu wananishambulia .mwanaume pesa ndio maana mna chitiwa.elimu muhimu lakini iwe inaingiza pesa .
 
Ngoja waje ila kule ulisema hutaki men kwakuwa kaachishwa kazi. "Kurukaruka kwa maharage ndy kuiva kwake" Uwe makini dunia wakati huu inakwenda kasi ya 120 kwa saa,utaweza.
 
Ngoja waje ila kule ulisema hutaki men kwakuwa kaachishwa kazi. "Kurukaruka kwa maharage ndy kuiva kwake" Uwe makini dunia wakati huu inakwenda kasi ya 120 kwa saa,utaweza.

Alikuwa anapesa na kazi mzuriii.saa hizi hata shopping siendi ,siku ya tatu leo sijaenda kula hoteli.alitumwa anioe I'm filing for divorce we will sell the house I
Filing child support .atajibeba
 
Mwisho wahayo ni majuto, usigeuzwe bidhaa dukani inayobadilishwa kwa pesa. Jithamini kwa thamani yako. Anahasara aliyekukurukia. Yesu wangu akuhurumie kwa kukusogezea neema yake ili kukufanyie utayari wa mabadiliko yatakoyo kusogeza kwenye toba ya kweli.
 
Ngoja ufikishe miaka 30,halafu nione kama utakuja na msemo huu!
 
Wadada ni complicated kama cricket.Elimu hawaijali sana.Wanajali pesa.Huwezi kusikia wakisema wanataka Degree. Btw Cricket ni mnyama ambaye masiko yake yako kwenye miguu ya mbele chini ya magoti.Na ni mchezo complicated. Simaanishi ni wanyama maana ndio wanaotufanya tuitwe wanaume. Hah hah.You minus them and man gets anaother identity.
 
ni mtazamo wako!ila ktk hali halisi haiko hivyo kabisaaa!ukiupata ukweli rudi uje kutupa mrejesho
 
Ninamiaka 35

na bado una akili ya kitoto namna hii?manake sidhani kama haya unayopost humu unafake!they are too relatively!no wonder hyo ndoa(kama kweli unayo)imefika hapo!hebu acha kumnyonya damu mwanaume wa watu!
 
Back
Top Bottom