Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Waungwana jamaa katuma SMS kwa bibi wa nje yenye maneno kuka kunywa chukua chumba nakuja kulipa, mkewe kainasa katika sent items ya simu ya mumewe, naombwa nifanye suluhu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
A making of changing gear kwenye magari!! Aisee dont kno but. . just today when i was on the road. . changing gear. . the touch of that thing i felt like i should hold it gently and something...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
wadau wa jukwaa hii tabia ya mwanamke kumtukana mume wake na dharau inasababishwa na nini? Au ndio ashakuwa na kidumu?
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naombeni msaada wenu kuhusu wanawake wa kimbulu nasikia wana tabia kupeana wenyewe kwa wenyewe hawatulia je ukwl hapo kwa 7 kama uzuri wamejali kwa kweli tatizo tabia sijui kama ni kweli?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuona. . . . . . Jicho ndo kaz yake lakin naulaumu Moyo kupenda kitu co chake. . . .
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Tukumbushane tu kuwa kwa wale wazoefu wa hapa MMU...kumekuwa na mijadala mirefu na mizito kuhusu nyumba kubwa na ndogo, kwa nini wanaume na wanawake wanapenda differently, na ni kwa nini...
10 Reactions
327 Replies
27K Views
Haya ni maongezi(kimaandishi/chat) kati ya mtu na nduguye (anavyodai mwanaume). Mwanaume ameoa hata miezi mitatu haijapita ila binti ye hajaolewa. Kama mke wa mhusika naona walakini ila naomba...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nawasalimia wana jf habari za majukumu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika siku za hivi karibuni nimesikia katika vyombo vya habari visa vya kushangaza. Kuna kisa cha huko Songea ambacho mama na kijana wake wa kuzaa wamekuwa wapenzi kwa takribani miaka kumi. Na...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Pengine wakati ukimtafuta wako wa maisha ulikuwa unatafuta vigezo kadhaa najua sio vyote ulivyopata kwakuwa wewe sio mungu kumpa kila kitu mtu anaeitaji ukaona miaka inaenda ngoja nikabane nae...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi wadau kuna proportionality ya viungo mwilini. What I mean is: kama mtu ni mfupi na "shaft" ni fupi and vice versa! Kama mwanamke ni mrefu na "canal" ni ndefu and vice versa! If so mtu mfupi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Siwezi kuishi bila shopping ,mgari wake kicheche.ananiambia nivumilie siwezi
0 Reactions
79 Replies
6K Views
seeking 4 a commited girl should be born again christian, of 18 to 20 years taking or has diploma or degree of any business courses preferably from Dar es salaam colleges
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fikira wewe na mkeo mmeamka wote asubuhi salama wa salimini, wewe unakwenda kwenye mihangaiko yako kutafuta riziki yeye unamwacha nyumbani unarudi jioni yeye unakuta alitoka na hajarudi wakati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
you introduced ur close cousin 2 your boyfrnd.later you broke up, but now ur cousin and ur x boyfrnd,wanachat almost everyday na kumeet sometimes.do thnk ts okey guys.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuchaguliwa Mrembo wa dunia kutoka China (kwenye picha) siamini kama kweli huyo dogo ni bomba kama wa kwetu huku bongo isee.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
PENGINE KUTOKANA NA UMRI AMA MAISHA KUYAWAHI MAPEMA NAMAINI MMENIELEWA VIJANA WENGI WAMEKURUPUKA KUKIMBILIA KUOA...SIKATAI KILA MWANAUME ANATAKIWA KUOA USINIULIZE KUHUSU MWANAMKE KUOLEWA M NI...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
Ni ukweli usiopingika kwamba mke na mume ndani ya nyumba baada ya muda mrefu kuishi pamoja mnakuwa katika hali ya kuzoeana kiasi cha kutokuwa na kutamaniana mara kwa mara,japo bado mnapendana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
IS THIS HOW LOUE IS?, There was a blind girl who hated herself because she was blind. She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her. She told her boyfriend,'If I...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mi naitwa MUSSA wa ARUSHA, naitaji mwanamke ambaye yuko sirious anayeitaji kuolewa na ambaye anaishi arusha ili tuweze kuonana kwa urahisi SIFA ZANGU ELIMU: chuo kikuu KAZI : nimeajiriwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom