Mzee wa miaka 70 afumaniwa Sekei, Arusha

calculator

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
279
137
Jamani kuna udaku nimeskia eti kuna babu wa miaka 70 amefumaniwa na mpangaji wake kule Sekei, Arusha. Naskia eti hii stori imetoka kwenye gazeti la RISASI la wiki iliyopita. Naombeni mwenye taarifa au hata link ya hiyo habari.

Ahsanteni
 
Inawezekana japokuwa sina uhakika, ila ni binadamu na ana miitikio kama mtu wa kawaida, anaweza kucheza game za nje na kumsababishia yaliyomkuta.
 
Jamani kuna udaku nimeskia eti kuna babu wa miaka 70 amefumaniwa na mpangaji wake kule Sekei, Arusha. Naskia eti hii stori imetoka kwenye gazeti la RISASI la wiki iliyopita. Naombeni mwenye taarifa au hata link ya hiyo habari.

Ahsanteni

Kuna picha nimezipata hapa, lakin hbr yenyewe sijaipata vzr

FRONTJMOSI1.jpg
 
dah vibabu noma, na huyo mwanamke anataka kutuambia nini? kwamba shughuli ya babu noma kuliko ya mume wake (kijana)? duh basi tena
 
utu uzima dawa...............
babu mtaalam zaid ya mume, chezeya maveteran ww, alaaah..
 
Aliyekwambia mwanaume wa miaka 70 hawezi mchezo nani? Mbona kuna wabunge wetu wameolewa na watu wa miaka zaidi ya 70!!! Tena huyu babu kwenye picha anaonekana yuko fit kabisa.
 
Hakuna mapenzi wala ujuzi wa ngono hapo! Anatafuta msamaha wa kodi tu!
 
Back
Top Bottom