muhonge mwanamme halafu uone kama atachomoa kwako!!!

promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,707
930
[h=2]
icon1.png
[/h]
Habari za kazi wana MMU,
Leo nimesikitishwa na wanawake wawili hapa kazini wanao gombea mwanamme mmoja,kwanza ilikua wanafanya siri
Mpaka ikawa kila mmoja anamjua mwenzie sasa yakaanza mashindano ya kugawa zawadi kwa mwanamme,Ghaliyah
Kanunua set bed room set Wafaa akanunua Sofa set imekwenda mpaka Ghaliyah kwao mambo safi kamnunulia bwana
BMW X5 mpya Wafaa hana jeuri hiyo,gari bwana kapewa kama siku 10sasa leo asubuhi kwenye mkutano ndio tiffu
likaanza bwana anavutwa huku mara anavutwa na yule Wafaa akawa anamtukana mwenzie "Mie sio wewe mpaka
Nihonge gari ndio nitakiwe kaa ukijua mwanamke mapenzi"

Ghaliyah akacheka kwa dharau sana akajibu" Muhonge vya thamani mwanamme uone kama atachomoa kwako"
Nikashanga sana wanavyojibizana kisa mwanamme,na yule bwana anacheka yani Wafaa karoa anakigari kama changu
cha mwaka 47 huko, uzuri huyu bwana tunaheshimiana sana nikamuita kumwambia alivyofanya sio sawa
Akanambia wote wanajigonga nasipendi kumuudhi hata mmoja katika wao na nilishawambia wanajua bwana karibuni anawacha kazi na hakuna hata mmoja anaejua.

swali langu waungwana ivi wanawake wengine inakuwaje wanakua na ujinga kama huu? kwani wanaume hakuna?​
 
EEEEEEeeeh mmeona eeeeh
Siku hizi wanaume adimu bhana.....
Mpaka tunahongwa ma-vogue duh...
 
swali langu waungwana ivi wanawake wengine inakuwaje wanakua na ujinga kama huu? kwani wanaume hakuna?

Hebu watake radhi...mbona wanaume kutwa kucha kuwanunulia viwanja,vigari kama si amagari,kuwajengea nyumba...wakati hata wazazi wetu vijijini hawana hata unga robo kibaba.....mla naye huliwa...lo.
 
Hebu watake radhi...mbona wanaume kutwa kucha kuwanunulia viwanja,vigari kama si amagari,kuwajengea nyumba...wakati hata wazazi wetu vijijini hawana hata unga robo kibaba.....mla naye huliwa...lo.
Ahh babu weee,wako wanao stahili kupewa lakini sio kama mwanamme huyu mwanamme suruali alojibweteka mpaka sofa anunuliwe kwa lipi
asojikaza.....
 
naona kama una 'envy' tu lol

All is fair in love and war
Sivibaya ukimpa anekupa sasa huyu kawaeka wanawake kama kitega uchumi na hajui kusema hataki wala hataki kujua wapi vinatoka nimwamamme huyo au Gumegume?
 
wanaume wapo ila husband maetrial wachache sana hivyo inabidi wanawake wawagombanie
 
EEEEEEeeeh mmeona eeeeh
Siku hizi wanaume adimu bhana.....
Mpaka tunahongwa ma-vogue duh...
Wallah sipendi tabia za wanaume wengine kuhongwa hongwa ovyo na hata ajui kama iko siku vitamtokea puani...
 
Ishu hapa wala sio kuhonga

ishu hapa ni 'culture ya rusharoho'

Hawa hawahongi kwa kuwa wanampenda sana
bali 'wanarushana roho na kuoneshana nani mwanamke zaidi'
the guy is actually a 'victim' ....

Kuna culture hasa zinazoenda na 'taarab' na kurushana roho
wanawake kushindana ni 'fun and exciting for them'
na wataendelea hivyo hata kwa a different guy....
 
Loh.. Dume zima linajichekesha tuu kuhongwa gari na sofa set hata aibu halina...Kama ni kaka yangu namzaba vibao... Mwanaume hasifiwi kwa kuhongwa bana...!
 
Ahh babu weee,wako wanao stahili kupewa lakini sio kama mwanamme huyu mwanamme suruali alojibweteka mpaka sofa anunuliwe kwa lipi
asojikaza.....

Kwani we Shufaa mzanziberi? nimevutiwa na lafidhi yako.................btw wanatoshana mwayego almuradi wanapagaishwa enough kumhonga huyo bwana gari siye ni nani kuwaingilia?
 
Mnakula kula na kuvaa siku zinaenda, vya bure hupenda kupewa, WANAUME kama mabinti Lol!
 
Hivi unajua Shufaa ndio Apple?
we mzanibari nini?
waitwa nani?Twaibaa? lol

Wapi? miye mbara tena chinga................hila wanvutia kwa madoido yao hao.......ati! Shufaa kumbe ni apple?
nini Twaiba kuna vitu vya Milhat Humaymat,Farhiya,Hyrat,Najat,Hytham,Zulekha,Suhaila..............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom