Ee bwana nahitaji ushauri wenu wa kauli kuna demu mmoja nimemzimia sana nimemu sms akaniambia atanijibu nikamfuaja home kwao nikamwambia anijibu akasema atanijibu kwenye sms mara akaniambia kazi kwangu mlango u wazi nikamwambia basi hata nimubusu nikapaki gari sheli tukaagana vizuri nafika home akanisms kwamba mchana aliona akiniambia ntazimia ninae nimpendae.sijapata chakumjibu usauri jamani