Every Girl's Dream..

Tungaraza Jr

Senior Member
Feb 3, 2012
196
48
Every Girl's Dream..

1.Getting Kissed In The Pouring Rain.
2.Have The Hot Kiss Where You are Pressed Againts The Wall.
3.Have The Guy That Thinks You Are The World.
4.Have A Good Guy That Holds On As Long As Possible When Giving Hugs.
5.A Guy That Whispers He Loves You In Your Ears.
6.Have That Moment Where You Just Gaze Into Each Others Eyes.
7.When You Cry, He Kisses Your Tears Away.
8.When Your Not With Your Guy He is All That You Can Think About.
9.Wearing His Jacket Or His Sweatshirt And Every time You Breath In His Scent Surrounds You.
10.A Guy Who Will Watch Any Movie With You No Matter How Teary Eyed You May Get.
 
Geloz wa wapi???

Unaniuzia chai mzee

Every Girl's Dream..

1.Getting Kissed In The Pouring Rain. Kwa nini tukakae nje wakati mvua inanyesha?

2.Have The Hot Kiss Where You are Pressed Againts The Wall. Wengine tumetoka kwenye mazingira ambayo kukiss ni sawa na kutemewa kwa aina yeyote tu, sasa raha kutemewa??

3.Have The Guy That Thinks You Are The World. Nitakuwaje dunia?? Mwanamme akifikiri hivyo ni kilaza, kimbia fasta

4.Have A Good Guy That Holds On As Long As Possible When Giving Hugs. Mmmh, hugz ya nini wakati ndani unga hautoshi?? Huo muda akatafute msosi

5.A Guy That Whispers He Loves You In Your Ears. Mwanamme anayekupenda hahitaji kuongea, hata masharobaro wanasema "nakupenda". Mwanamme vitendo

6.Have That Moment Where You Just Gaze Into Each Others Eyes. Tamthilia zaidi

7.When You Cry, He Kisses Your Tears Away. Kwa hiyo kazi ya mwanamme ni kumlamba machozi mwanamke?? Mna kazi kwa kweli!!

8.When Your Not With Your Guy He is All That You Can Think About. Mmmh, nikae namfikiria nitapika saa ngapi?? Sifanyi kazi?? Helo maza!

9.Wearing His Jacket Or His Sweatshirt And Every time You Breath In His Scent Surrounds You. Jamani, hebu kuwa real, nivae koti saa saba Dar na kashakasha za usafiri wa Dar hii??, Yeye mwenyewe fundi gereji, ninuse grisi??

10.A Guy Who Will Watch Any Movie With You No Matter How Teary Eyed You May Get. Bora hata aniimbie wimbo wa taifa
 
we wa huku kwetu wenyewe hayo mambo hata hawajui, wanawaza tu lini wamalize S.T.D 7 waolewe, tena staili ya kupata mchumba ni ile ya kupigwa mtama wakati wa kutoka kisimani kuchota maji...hayo ya kwenu huko huko mjini
 
Get married to a rich men your job is shopping makeup. Facebook .poor men is not attractive
 
Hizi naona ni 'flirting notes'
Hakuna uhalisia wowote..
Magelo wenyewe hawa chapa ilale..
 
Get married to a rich men your job is shopping makeup. Facebook .poor men is not attractive
natalia, y do wana poor scorns upon poor men? life change like a wind! Me kuna walionikataa kwa vile nilikuwa sijapata job ya uhakika, sasa wananitafuta...na Me SIZITAKI MBICHI HIZI...MAISHA YANABADILIKA KAMA MAJIRA VILE MASKINI WA LEO TAJIRI WA KESHO...BLV ME
 
we wa huku kwetu wenyewe hayo mambo hata hawajui, wanawaza tu lini wamalize S.T.D 7 waolewe, tena staili ya kupata mchumba ni ile ya kupigwa mtama wakati wa kutoka kisimani kuchota maji...hayo ya kwenu huko huko mjini

Hahahaaaaaaaaaaa hii pia imo?
 
Every girl wants a guy

Who hugs her when they're watching a scary or romantic movie,
Who gives her his jacket even when he himself is feeling cold,
Who will always be the one to make her laugh,
Most importantly he will love her for who she is..!

ingawa ni ki-muzungu zaid........................
 
Every Girl's Dream..

1.Getting Kissed In The Pouring Rain.
2.Have The Hot Kiss Where You are Pressed Againts The Wall.
3.Have The Guy That Thinks You Are The World.
4.Have A Good Guy That Holds On As Long As Possible When Giving Hugs.
5.A Guy That Whispers He Loves You In Your Ears.
6.Have That Moment Where You Just Gaze Into Each Others Eyes.
7.When You Cry, He Kisses Your Tears Away.
8.When Your Not With Your Guy He is All That You Can Think About.
9.Wearing His Jacket Or His Sweatshirt And Every time You Breath In His Scent Surrounds You.
10.A Guy Who Will Watch Any Movie With You No Matter How Teary Eyed You May Get.

Mapenzi ya filam haya wala si halisi na watu wakisoma wanachukua hivyohivyo.
Hakuna kingine tunachotafuta katika mapenzi zaidi ya faraja na furaha haya mengine yote ni usanii tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom