Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Inakuaje msichana unapo tongozwa na kila mwanaume ni lazima umkubalie na unapo ulizwa unaye m2 wako unaktaa hata kama unaye niki2 gani kinacho sababasha zaidi m2 kufanya hivyo ni swali nimeulizwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi...
4 Reactions
131 Replies
13K Views
Which can you share with your lover? 1. ATM pin 2. Facebook password 3. Phone secret codes 4. E-mail password please be sincere.
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Swali langu linajieleza wanajamvi, Kwa nini ni nadra sana kubahatika kumpata mtu ambaye unampenda sana naye akawa anakupenda sana? sana sana unaweza ukapata mtu unampenda sana but akawa anampenda...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Nilikuwa na rafiki yangu ambaye ni mwanaume naaliwahi kukaa nchi za nje mda mrefu bila mkewe na nilipojaribu kumdadisi mkewe kuw mumewe unawezaezaje kukaa mda mrefu akanitonya kuwa anafanya...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
KWA WA DADA WANAO DHAMINI MAHUSIANO... UNA ZAIDI YA MIAKA 26, UMESOMA VIZURI, UKO PRESENTABLE (BEAUTY), USIWE MTU WA CLUB, UNAMUAMINI MUNGU NA MWISHO- UNAISHI ARUSHA? KWA SASA MIMI NAISHI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisoma huku JF kwamba kuna watu walioweza hata kupata wenzi wa maisha yao, nami nimeona ni vema kutumia nafasi hii pia katika mchakato huo. Mimi ni kijana mwenye miaka 33 amabaye niko...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume. Natafuta mchumba. Umri wangu ni miaka 30. awe msikivu kwangu. Awe na umri kati ya miaka 20 hadi 40. Kama uko tayari niibox fasta
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Inaweza ikawa haina mantiki kuuliza swali kama hilo ila ukimwaga idea zako hapo zinaweza kumsaidia mwingine.Je ULAYA(mataifa Makubwa/mengine) kuna shule za ngono/mapenzi??..kama zipo zinawasaidia...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
hiii ni kwa wadada wote wenye kujaaliwa makalio makubwa itakuwa ni chance yao...!
0 Reactions
34 Replies
8K Views
Nina miaka 29, ni muajiriwa wa shirika flani hivi hapa dsm, si mnene sana, ni mrefu, maji ya kunde, ninapenda maendeleo. Natafuta bint btn 23-27 ikimpendeza Mungu aje kuwa mke, napenda mtu mwenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
POLISI imeanzisha operesheni kaMambe ya kupambana na biashara ya ukahaba Mji wa Moshi na tayari wanawake zaidi ya 150 wanaouza miili yao wametiwa mbaroni. Vifungu 145,146 na 147 vya kanuni ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Khabari Wanajamviii!!! Mie mzima, ila ndo hivo tena husikeni na kichwa cha habari hapo juu!!! Mi ni mdada kati ya wadada wachache wanazi wa soka, si la nje si la ndani, yote nimo. Huko nje...
4 Reactions
62 Replies
5K Views
Habar za kutwa wapedwa wa JF, Nimejaribu kupitia jukwa hili kwenye sub-furum yake ya LOVE CONNECT, kila wakat naona wanaume wengi wanatafuta wake wa kuoa, lakin ukipita uko mitaani utasikia dada...
0 Reactions
47 Replies
3K Views
Girl: Honey?? Boy: Yes, sweety?? Girl: Honey, i like this shoe a lot but i forgot my wallet at home, could you pliz give me tshs.30,000 to buy it? Boy: "There is no Atm close here but take...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninasumbuka na mpenzi wangu kwanin kila siku lazima nimuote na wakati mwingi namuaza yeye, naona hadi nakosa raha. yeye yuko mbali nami twaweza kuwasiliana tu kwa simu, si zaidi. nifanyeje kwani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mara nyingi ninapofanya safari zangu za kwenda mikoani huwa natumia mabasi..japo pia mara moja moja pale ambapo kipande kimeruhusu naweza kupanda Precision Air..lakini muda mwingi ni mabasi. Kila...
3 Reactions
115 Replies
8K Views
Hii nimeitoa kwa vijana kule Facebook nanukuu FALSAFA YA MWANAMKE - Mwanaume mkamilifu zaidi duniani ni BABA YAKE - Mwanaume anayeonewa na kunyanyasika zaidi duniani ni KAKA YAKE - Mwanaume...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
huu ndiyo ukweli katika kutafuta mtu wakuwa na mahusiano!!
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Hi wadau, kwa wale wataalam wa saikolojia na social sayansi. Ni lengo la kuoa sasa targeti yangu ni kuchukua changu yule classic au baamedi mkali kama atakubali wazo langu la kumuoa basi tukapime...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Back
Top Bottom