wasichana/wanawake wa JF wasaaidieni wenzenu ambao hawamo JF; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wasichana/wanawake wa JF wasaaidieni wenzenu ambao hawamo JF;

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bakulutu, Sep 28, 2012.

 1. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  Habar za kutwa wapedwa wa JF,
  Nimejaribu kupitia jukwa hili kwenye sub-furum yake ya LOVE CONNECT, kila wakat naona wanaume wengi wanatafuta wake wa kuoa, lakin ukipita uko mitaani utasikia dada zetu wanalalamikaa hakuna wanaume wakuwaoa, me naamin wanaume wengi wa humu wanao post kule wanaitaji wenzio wao wa ndani lakin inaonekana wanawake wa huku weng tayar wanawao au wanamisimamo yao, na kama ni msichana mpya akija anawaiwa haraka, lakin mwanume anaweza akaweka post yake hata wiki nzima iko hivi (0).

  Ushaur wang kw wanawake/wasichana walio humu wa waarifu na wenzio huko mitaani waje watengeneze maisha yao zaid na wawe na familia zao kwan kuoa siku hiz ni maendeleo na sio kama zaman mwanamke anaenda kw mme wake na nguo 1 tuu! Akanunuliwe vingine na mwanaume.
  Waambiene wapo wanaume wamaana na wenye nia za dhati, wa siogope kwan bidii ya mtu muumba ndio anaijua.
  AKSANTENI.
   
 2. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Akuuuuuu! Wanaume wa humu tunawajua wenyewe! BAHILI KAMA NINI, AFU WENGI WAONJAJI ONJAJI TENA BUREEEEEEEEEEE! Sijasikia hata mmoja akialika harusi, au hata kujipasishia na kuishi nae kinemela! Wenzio wanataka DOT COM atiiii, Ujihudumie ila amege! NANI ANATAKA LAWAMA!!!!!!!!! Ya ngoswe ngoja niwaachie ngoswe
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmmh nitarudi maana kichwa yangu leo imepinda....
   
 4. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Isipokuwa mimi!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  duh, aisee
  hivi nikianzisha kipindi chakutafuta wenzi ITV kitapata soko?

  Ngoja nijipange.
   
 6. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  anzisha humu Kongosho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  ungeanzishia tbc1 ila target wajane. Huko itv ndo wamejaa kina lara1 hutapata mtu unless wanawakilisha statement za bank na mali zisizohamishika.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ila ukisema thread za wanaume kusaka wachumba huwa hazina comment unadanganya. Binafsi huwa najitahidi sana kuchakachua walau vipost 2. Well, nitaongeza juhudi ya kuchakachua.
   
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Bado siamini kama humu JF unaweza kupata mwenza..
  Sanasana naona ni full sanaa tu..
  Halaf mleta mada hata waolewe vipi huwezi kuja kuona kuwa wanawake wamepungua mtaani..watakuwa wengi tu!!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  hawa hawa akina lara 1 ndo nawataka
  wataolewa bila mbuzi wala nyumba.

  Hivi unajua makampuni ya recruitment yalivyo na ushawishi.

  Itakuwa kind of a blind date, ila kila mmoja itabidi aseme anataka mtu wa aina gani.

  Mie nitakuwa nawaintavyuu kwanza halafu naandaa wakutane for a date mahali fulani.

  Wajane itategemea umri, wale wazee wazee wao nao ntawaunganisha hivyo hivyo.

   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  humu namuogopa Paw, nitakuwa simtendei haki maana ana jukwaa la love connect.

  Afu nataka kukamata soko la ambao hawako jeiefu.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaa! Naomba UPATNER, ili nijilimbikizie CLINTEL ya VIBOSILE niwapunguze stress kidogo in exchange for MIDOLARI!
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  umesha do na wangapi wa humu?
   
 14. DSpecial

  DSpecial JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Utakuwa umefanya la maana sana tena sana.......
  mawazo yako yabarikiwe......
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaaa! Nita doo nao wapi, CV yangu humu inajielezea kuwa POCHI mbeleee, THEY DO PM ME A LOT!!!( It 100% true) Ila ndo kujiwahi, ohhh mi sina pesa, usinifikirie hivo, i jst want to spend some quality time with u as a sister, BLAH! BLAH! BLAH! So far nobody YET!
   
 16. DSpecial

  DSpecial JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Aisee umeongea point ya msingi wewee......unajua usione tunapishana tu mabarabarani humo na vyuoni, watu wanateseka bana kufikiria jinsi ya kumpata msichana.......maana wasichana wa siku hizi hawa ukimtokea omba mungu akubali, akikataa hapo utapaona hapatoshi.............nakumbuka kunasiku nilijitahidi, nikakusanya nguvu za kutosha na kuamua kumtokea msichana baada ya uzalendo kunishinda, ila sio siri kidume nilitupiwa maneno hapo hadharani kweupee mpaka nilitamani kuingiza sura mfukoni, ni hivyo tu haikuwezekana......toka siku hiyo sikuthubutu tena kutongoza.
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  labda uanze wewe pm unaowaona wataku afford
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  na wewe kama utapenda, utakuwa mshiriki wangu wa kwanza.

   
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280

  Hahahahaaaaaa! Mi sipendi kazi bana! Nijigongeee weee, akuuu! I like them to chase me, not the other way round
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Rich guys don't chase...
  if u wanna be chased...don't mind money much..
   
Loading...