Kwa mdada aliye serious | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mdada aliye serious

Discussion in 'Love Connect' started by Submissive, Sep 19, 2012.

 1. S

  Submissive Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikisoma huku JF kwamba kuna watu walioweza hata kupata wenzi wa maisha yao, nami nimeona ni vema kutumia nafasi hii pia katika mchakato huo.
  Mimi ni kijana mwenye miaka 33 amabaye niko kwenye mchakaoto tajwa hapo juu. Ningependa kupata mdada aliye serious; awe na sifa zifuatazo:

  1. Mcha Mungu ( mimi ni mkristo hivo awe tayari kwa hilo)
  2. Awe model, sina interest ya mdada mnene sana na wala mwenye matiti wanayopenda wazungu (makubwa), niwe wazi tu.
  3. Mwenye sura ya kuvutia
  4. Si mweusi sana, kwani mimi ni maji ya kunde
  5. Mwenye degree au diploma
  6. Anayefanya kazi : Maisha sasa ni magumu hivo ni lazima tusaidiane.
  7. Mchakaramu na mwenye kujichanganya
  8. Mwenye kujiheshimu, sitaki mgawa kwa kijiko
  9. Niko Dar hivo ajue ndipo maskani
  10. Awe tayari kuwa chini ya mwanaume, kwani ndo kichwa cha familiya.
  11Awe tayari kutoa picha na contacts
  12. Si mfupi
  13. Miaka walau chini ya 29.

  Feel free to PM

   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Submissive

  the name says something lol
   
 3. S

  Submissive Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haha, not really!
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Wewe mkurya ama mjita?
  Nimeipenda.ya kutaka mke submissive. Kila la kheri.
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  We umeweka vigezo lukuki! Sawa tumeona ila ingependeza JST SAY SMTH ABT U BRIEFLY. Ili mtu akiku pm ajue What she has to expect. Sio wewe kuchagua vilivo nona na kuuzia wenzio mbuzi kwenye gunia
   
 6. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,102
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  rejea kigezo no 7 sijaelewa.fafanua dada zetu wasijepotea
   
 7. S

  Submissive Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ufafanuzi:
  @ Mkiva:
  7. Mchakaramu na mwenye kujichanganya
  Mfano, unaweza kuwa na demu wako mmenda labda kwenye function fulani na marafiki zako na pale wako wake/mademu wa marafiki zako, anshindwa hata kupiga nao story, anaishia kuangalia TV wakati wengine wanaongea stories na kula fani. Au hata mkiwa mahali anashindwa hata kuchangia neno. lara 1
  She has to expect a good man, as i am. Nina quality za wakaka wa kawaida wa kileo. Si sharobaro, mwenye sura ambaye lara tukitoka watu wanajua kabisa ni husbund wako, hana haja ya kuuliza ati huyu ni shamba boy wako? Sina haja ya kutumia viagra kwani ni hatari

  Lara, be the first to PM. Tehetehe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kumbe hupendi woman on top
   
 9. S

  Submissive Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  @ MadamX,
  Hapana, Biblia inatuambia Mume ni kichwa cha familiya.
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kweli, lakini mke ujue ni shingo inazungusha kichwa kama inavyotaka. :) all the best.
   
 11. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  mmh! kila la heri ila sijui kwa sifa hizo.
   
 12. s

  sacha Member

  #12
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ningekupm ila no 2 na no 7 ni tatizo kwangu..ila ingekuwa vizuri km nawe ungemwaga zako hapa ili mwenywe sifa zote na utakazo achec km na ww una sifa atakazo!!
   
Loading...