Mapenzi mfano wa cku kila kukicha tarehe inabadilika-

prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
Inakuaje msichana unapo tongozwa na kila mwanaume ni lazima umkubalie na unapo ulizwa unaye m2 wako unaktaa hata kama unaye niki2 gani kinacho sababasha zaidi m2 kufanya hivyo ni swali nimeulizwa na rafiki yangu anaomba ushauri maana imeisha mtokea sana anasema hawezi kumkatalia mwanaume ila anatamani kutofanya hivyo
 
wanaume watamu bwanaaa na yeye ni mmoja kati ya wachache walio bahatika kuujua utamu wa wanaume....mwambieasione hilo kuwa tatizo bali aendelee tuu kuenjoy
 
Naona wadau wanachangamkia dead ball a.k.a maharagwe ya Mbeya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom