Beki 3 Wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Beki 3 Wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkusa, Sep 28, 2012.

 1. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao.
  Nina kama week sasa nafunga na kuomba Mungu aniepushe na shetani Muovu ambaye kimsingi ameshaanza kut send Bad signal kwenye Mind yangu juu ya huyu Bint, nitaendelea kufunga na Kumuomba Mungu aniepushe na Adui Muovu shetani, ikishindikana zaid nia apply ile wazungu wanasema "He who avoids tempatation avoids Sin" kwa kumtengenezea Zengwe kwa wife ili arudi kwao ukichukulia ni last week tu tumetoka kupima HIV na wife na wote tuko -Ve na sitak kabisaaaa kuwa source ya Maanagamizi ya Familia yangu.
  Naomba Mniombee katika kipindi hiki

  PS:
  Kwa wale mnaotaka ku Employ wadada wa kazi, nashauri muwape kitu kama a "Grace period" ya kama 6 Months na inabid hii iwe agreed before, after six Month ukianza kupata mawazo ya Kishetani mwambie kuwa haja Qualify na umrudishe kwao kabla Hujamtafuna na kuvuruga Familia.

  Wasalaam
   
 2. m

  mamajack JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe unamitamaa yako tu imekujaa,wala usimsingizie dada wa watu.
  watu wa aina yako hutamani hata watoto wao wa kuwazaa.
  kaombewe hilo ni pepo.
   
 3. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mamajack , ninayoyasema mimi ndo ukweli, hata Baba Jack huenda anapata hisia kama zangu, sasa sijui yeye hata hukumbukaga kumshirikisha Mungu kwa kufanya vitu kama kufunga, sala n.k au huwaga ndo ana do kabisa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mpango huo wala hana kabisa!wewe wala usijesemeshe hapa jf,kamwambie mkeo ukweli kwamba unamtamani bk3 wenu.
   
 5. Ndukidi

  Ndukidi JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 821
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Kila kitu kiko akilini mwako.....mimi nimesha kaa na hao mabeki tatu wanafika sasa hata 10, tena warembo na wanakuja wananenepea kwangu, karibu 6 kati yao waliondoka na mimba, lakini akilini mwangu iko principle kwamba siwezi kuwatamani, na sijawahi kuwatamani kamwe!!!
   
 6. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hahahaaaa! Itakuwa LIMBWATA LIMEKUKOLEA!!!!! Chezea kulisha chakula kilichopikwa na MAJI YA KUTAWAZ*A!!!!!Hapo lazima uisome namba, KILA SIKU UNAMUONA BOMBAAAA kumbe CHEMISTRY YA BABU HIYO!!! Hakuja mjini kushangaa MAGHOROFA babu wee. MJINI MIPANGO ATIII! Lazima umtupie WIFE virago kabla msimu wa ndoa kuisha @ Kocha wa Yanga!
   
 7. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,312
  Likes Received: 2,973
  Trophy Points: 280
  Kaza roho ndg yangu unajua "Aliwazo mjinga ndilo litakalo Mtokea" Usimrudishe home unajua nae atafuta maisha ili siku moja awe na kwake. Mpumbavu husema kuwa hakuna Mungu
   
 8. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mbona unamsema Baba Jack lakini
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  mabeki 3 kweli wanamitihani...sijui wale wenzao wa kiume(house boys) pia huwa hali inakuwa mbaya kama hivi!!
   
 10. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu, ni Sababu ipi inayokufanya u tune akili yako kuwa "Sito mtamani Dada wa kazi", Hii Mkuu haipo, na kama ndo unavyjipa Hope, ukiona una i tune akili yako hivyo, Basi jua ndo ushaanza kumtamani ila una i tune akili yako ishinde Vishawishi, Bila kumshirikisha Mungu Mkuu hutok hapo
   
 11. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hilo ni pepo tu, kwa jina la yesu lishindweeeeeeeeeeeeeeee.... na tamaa katika mind set yako............yaan unamtamani mschan wa kazi? ww c babab mzuri wa familia aisee.....!
   
 12. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndo maana nafunga na kuomba na ikibid natengeneza Zengwe arud kwao
   
 13. m

  mamajack JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kwa sababu namfahamu vizuri,na nimuwazi kwangu,sio kama wewe badala umwambie mkeo kuwa unamtamani bk3,unakuja kutueleza hapa jamvini,tumia ujasili ulioutumia hapa kumweleza mkeo.vipi akija binamu kuishi hapo kwako au mdogo wa mkeo,utafanya nini?dhibiti matamanio yako.
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Sijui ni kwa nini; ila napata taabu sana kuamini kuwa hujamtafuna!
   
 15. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Pamoja na kwamba haya mambo yanaokea sana,

  Sijawahi kuelewa kwamba inakuwaje kuwaje mtu unaanza kumtamani msichana wa kazi....

  Kama huwezi kuswitch off hiyo tamaa basi huko mbele ni hatari...hata wakija wabaya utawatamani tu!
   
 16. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye RED hapo; Easier said than done mamajack! "Solusheni" ni kutokuwa kwenye mazingira ya kuwa na matamanio.
   
 17. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Bado Mkuu
   
 18. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  So huwaga muwazi kwako incase akitamanigi, kama hatamanigi basi atakuwa ana kasoro
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ni kutokuwa na moral principles; anayeweza mtamani HG hashindwi kumtamani step daughter wake au hata binti wake mwenyewe.
   
 20. Mkusa

  Mkusa JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kaunga, huku utakuwa umeenda mbali sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...