Nisaidieni hili; kweli linanipa shida

A VILLAGER

Member
Sep 29, 2012
27
6
Ninasumbuka na mpenzi wangu kwanin kila siku lazima nimuote na wakati mwingi namuaza yeye, naona hadi nakosa raha. yeye yuko mbali nami twaweza kuwasiliana tu kwa simu, si zaidi. nifanyeje kwani nakosa raha!
 
mfuate kama yupo ndani ya Tz, otherwise mwambie ukweli unavyom-misi atajua afanyeje
 
Kama unakosa raha ukimuwaza yy..basi tafuta mengne ya umuhimu uyafanye yatakayo kupa raha!
 
Kama una muwaza mtu alaf una kosa raha. Hakika sijakuelewa kabisa.

Kama una kosa raha hakika huyo si wa moyo wako maana ana kukosesha raha!

NB pengine lugha uliyotumia imeleta utata!
 
pupa ya penzi ina nginja nginja, itaisha tu.
Kaunga, hebu njoo umsaidie huyu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom