Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wataalamu wamethibitisha hivi sasa kwamba, familia ambazo wazazi ni walevi kwa mfano, au ni wavuta bangi, ni rahisi sana kwao kuwarithisha watoto wao kuliko watu wanavyofikiria. Jambo ambalo...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Inaonekana wanaume tulio wengi tunapenda ngono kuliko wanawake au tunalitazama tendo hilo kwa uthamani mkubwa. " Hii inaweza kuwa inasababishwa na maumbile yetu au malezi. " Nimesema hayo kwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Having trouble picking out what to wear to work? Focusing on colors might not only help you narrow down your choices, but may also benefit your career. Research has shown that colors can greatly...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
This popped up on my Facebook feed so I decided to share with my JF family. Najua kulikuwa na topic ya male ego, sasa kuna mtu alikuwa anaongelea female ego inavyoharibu mambo. Majibu yalikuwa 30+...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Looking for psychosocial counselor to work on a day wage of 100,000tshs (x30days) for one month. Inbox me if you know anyone interested...urgently
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Naongelea Kwenye mzinga wa mapenzi .wanawake wengi mnakuwa Kama nyuki hasira kununa umbea na kijichubua hivi ni bonge la turn off .wanaume wenu wataishia kuwa Kama asali.kila mtu atakula Kasoro...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Baada ya Frederica kukilalamikia kipimo cha kinasaba DNA kusambaratisha ndoa yake baada ya ugomvi mkubwa na mumewe kuhisi mtoto aliezaliwa kuonekana mwenye asili ya Asia toka rangi hadi nywele na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta marafiki wa kike na kiume kwa njia ya email nipeni email zenu hapa
0 Reactions
7 Replies
3K Views
  • Closed
Ni takriban mwezi sasa toka nilionana na kijana wa JF anae jiita Nyani Ngabu. Naam, Nyani Ngabu ni kijana, tofauti na habari zinazo sambaa sambaa humu. Labda kwanza nieleze ilikuaje hadi...
21 Reactions
187 Replies
12K Views
Mganga akaniambia mwanangu kachukuliwa msukule.....! (Picha haihusiani na habari hii) Mwaka 1995 nilikuwa bado naamini sana katika haya mambo ya uchawi na ushirikina. Wakati huo nilikuwa na mke...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wana jf mkopoa natafuta marafiki kwa email asnt
0 Reactions
24 Replies
6K Views
kila muda anapiga cm kwa mpenzi wake umeivisha, umepika nn nije kula, nipikie basi nakuja kula, utaniandalia nn nije kula. nisaidieni mwanaume wa hivi nimueleweje au ndio kawaida kwa wapendanao!!!!
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Familia ya Bwana na Bibi Tutor B wa jijini Mwanza wanayo furaha kuungana nawe Mwana JF katika sherehe ya mtoto wao mpendwa Akanganyila B kupata kipaimara. Sherehe hizo zitafanyika siku ya...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
wana jf tusaidiane hapo
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana...
3 Reactions
116 Replies
19K Views
Sasa mmea unaaza kuchipua kwa kweli katika jf nimefanikiwa ndoto yangu niwepata nilichokua natafuta nashukuru kwa collective leadership
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi sasa wanandoa wa Marekani hawako tayari tena kujiapiza kwamba, wataishi na mume hadi kifo kije kiwatengenishe. Badala yake, wengi hutaka kujiapiza kwa kusema, "tutaishi kwa shida na raha...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Kipi kilokukimbiza?, natamani kukijua mahaba nimetimiza, kadiri nilivyojua mpenzi umeniponza, moyoni ninaugua kidonda nakiuguza, sijui lini tapoa. Nateseka na giza, mawazo yanisumbua maswali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanasaikolojia sasa wamebaini kwamba, mwanamke ana uwezo mkubwa wa kuvumilia kwenye hali ngumu kuliko mwanaume. Kwa hiyo, anaweza kuanzia chini sana, kwa kuuza muhogo wa kukaanga hadi akafika juu...
17 Reactions
113 Replies
11K Views
Wanajamvi jana usiku mida ya saa 4 nimempigia simu mpenzi wangu simu ikaita bila kupokelewa nadhani alikuwa ameshalala,nikaamua kumtumia sms ya kumtakia usiku mwema na nikamwambia simu yangu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…