wanawake ni kama basi ukichoka shuka panda jingine
Na wanaume ni kama nini???
wanaume kama abiria.
Naongelea Kwenye mzinga wa mapenzi .wanawake wengi mnakuwa Kama nyuki hasira kununa umbea na kijichubua hivi ni bonge la turn off .wanaume wenu wataishia kuwa Kama asali.kila mtu atakula Kasoro nyuki mwenyewe.
ciello majeruhi wa mazoezi ya GoTi
Iko wapi mutoto Ciello,hapa kuna mutu inaitwa lara 1 where are you mutu yangu?Bujibuji tokea hapa nasubiri weye darasa nakwishaanza humu ndani ya munyumba.
niko hapa nilikuwa bize na goti styles....
Ha ha ha haaaaaaaaaa! Kweli darasa limeanza! Ngoja nikachukue daftari la kuandikia notes! Sina mbavu eti "mnakuwa kama nyuki..."