Mzalendo wa ukweli
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 559
- 149
Wanajamvi jana usiku mida ya saa 4 nimempigia simu mpenzi wangu simu ikaita bila kupokelewa nadhani alikuwa ameshalala,nikaamua kumtumia sms ya kumtakia usiku mwema na nikamwambia simu yangu haitakuwa hewani kwa muda fulani kwa vile itakuwa ktk charge a.k.a charger ya kobe kwa vile charging system ya simu imekufa.Nimeshtuka usiku wa kama saa 9 au 10 nikawasha simu na mara zikaingia msg kama 5 hivi na zote zilikuwa za kunilaumu na kunituhum kuwa nina mpango wa kando kitu ambacho si cha kweli na akasisitiza nisimtafute and ITS OVER BTN US.Mnanishauri nifanyeje??????????/