Inawezekana hii ndo sababu ya wanawake kutuadhibu kwa fimbo hii . . . . . . . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,260
20,610
Inaonekana wanaume tulio wengi tunapenda ngono kuliko wanawake au tunalitazama tendo hilo kwa uthamani mkubwa.
"
Hii inaweza kuwa inasababishwa na maumbile yetu au malezi.
"
Nimesema hayo kwa kuwa mtu anaweza kuwa na mgogoro na mkewe au mpenzi wake,kama mgogoro huo haujahusisha tendo la ndoa,kwa maana kuwa tendo la ndoa linafanyika kama kawaida basi mwanaume anaweza asiuchukulie huo mgogoro "siriaz"
"
Kama mgogoro huo utahusisha tendo la ndoa lazima patachimbika.
"
Unaweza kuwa unamtaka binti fulani na ukawa umetumia hela nyingi sana kwake,lakini kama hajakupa utukufu maelewano hayatakuwepo kabisa.
Lakini kama umeshapewa haitajalisha umetumia kiasi gani.
"
Hii unaweza kuiona hata kwenye mijadala ya migogoro ya kimahusiano inayoletwa hapa.
"
Hii inamjulisha mwanamke kuwa mwanaume anathamini sana utupu wa mwanamke kuliko kitu chochote.
"
Ndio maana anautumia kama fimbo ya kumuadhibia pindi utokeapo mgogoro baina yao.
Au anautumia kama chombo cha kudai mahitaji yake.
"
Anajua hapa hana ujanja kabisa.Ndo maana mtu anaweza kusamehe kirahisi pesa nyingi lakini sio mkewe kumegwa na mtu mwingine.
"
Ndo maana ukimfanyia mwanamke jambo jema na akakulipa hela,hatoridhika kama umefurahia shukrani ya pesa,mpaka akupe utukufu wake.
Jambo hili tumelisababisha sisi wenyewe,inaweza kuwa sio wote lakini wengi wetu tuko hivyo.
"
Ili kuondoa jambo hili,tunatakiwa tubadili mtazamo wetu kwenye hii makitu ili wasitunyanyasie.
Akikunyima unapotezea na unaendelea na maisha kama kawa,sio msosi huo.
"
Kwan nini bana . . . . . ??!!
 

promiseme

JF-Expert Member
Mar 15, 2010
2,708
926
Utatamani iwe hivyo lakini ndio cheo chake K na ukijua matumizi yake ndio oooooh raha usisemeee...
 

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
789
haya mavitu Eiyer...yalikuwepo toka enzi za Adam na Eva........

Acha kabisa, ndo tumeshakuwa wahanga hivyo....haina jinsi
 

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,260
20,610
Utatamani iwe hivyo lakini ndio cheo chake K na ukijua matumizi yake ndio oooooh raha usisemeee...

Lait ungekua mke wangu,ungejua kuna watu wanaiona K kama mkono tu!
 

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,260
20,610
bacha mi sio mhanga bana!
 
Last edited by a moderator:

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,343
23,815
Mh kaka Eiyer, kuna vitu ni nature kwa kweli..we just cant run away from!
 
Last edited by a moderator:

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,837
Eiyer my friend nakubaliana na wewe kuwa ni kujiendekeza tu..yaani tumeprioritize sana hiyo kitu kuliko kawaida!!
Sikatai K ni muhimu lakini kwa bahati mbaya sote aidha waume au wake tumekuwa victimized nayo!!
The only thing mwanamke anadhani is her weapon eti ni K!..is this ryte??
Lakini mwisho wa siku ukifungua macho vizuri utagundua tena ni hiyo hiyo K ndio adui wa maendeleo ya mwanamke!!
 
Last edited by a moderator:

usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
527
331
Mmmh! Inaonekana hata wanawake wanaendekeza huu mchezo kwa kisingizio cha utamu, hivi kweli kuna maendeleo ya tecnolojia yatapatikana kwa watu weusi? Kuna siku niliangalia bbc japani wameanza programu ya kuwakutanisha sehemu watu walio busy na tecnolojia mpaka wakasahau kwamba kuna relationships. Hii kwetu haiwezekani maana mpaka watu wanatoroka kazini na kwenda kuzini chooni na nyumbani ana mke/mme.
 

Mtoto wa kitaa

Senior Member
Nov 7, 2012
149
16
Eiyer my friend nakubaliana na wewe kuwa ni kujiendekeza tu..yaani tumeprioritize sana hiyo kitu kuliko kawaida!!
Sikatai K ni muhimu lakini kwa bahati mbaya sote aidha waume au wake tumekuwa victimized nayo!!
The only thing mwanamke anadhani is her weapon eti ni K!..is this ryte??
Lakini mwisho wa siku ukifungua macho vizuri utagundua tena ni hiyo hiyo K ndio adui wa maendeleo ya mwanamke!!

"k ' hii kitu uwa haikinai kabisa unaweza kula leo kesho ukataka kula tena .
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom