Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana

kbosho

JF-Expert Member
Jun 4, 2012
13,013
2,000
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana
 
Neiwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
731
225
Kheri hana hisia lakini kajali kiasi cha kukupa ukweli usongeshe mbele, mwingine anakufanyia vituko, anabadilika ukiongelea kuachana analalamika na hataki kukuachia kwa sabb zozote zile alizo nazo, unabaki ukisikia guilty kuwa labda mwenye ndio una matatizo. Ukiwa na mtu muwazi hivi ktk mapenzi suala la kushukuru. Utaumia ila mwishowe utapona. Sometimes its ok not to be ok.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,035
1,500
Bora kakuambia mapema

Utajuaje, landa kapata kidumu, 21-24 ndio muda wa kubadilisha wanamme kwa wadada
Hasa kama wewe ndio ulianza naye, ukute huko chuo keshampata mwingine.

Kuumia kwenye mapenzi kupo na hakukimbiliki na wala hakuna panadol yake
Kikubwa huwa ni kukubali maumivu na kujaribu kufanya 'maumivu management' ili yasije yakakuathiri katika mahusiano yako yajayo.
 
Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
225
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana
Bahati amekwambia maana angekudanganya baadae ungeumia sana.

Nahisi amepata mtu mwingine. Chapa lapa, fanya kazi kwa juhudi utaona ukifanikiwa hisia zitarudi tu halafu utaamua mwenyewe
 
babysaria

Member
Nov 23, 2012
5
0
Dogo mwanamke akikuambia live kama huyo wa kwako umshukuru mungu na yeye mwenyewe sana. Ingekuuma sana siku ambayo ungekuja gundua kuwa anacheat kabla hajakuambia. ukiendelea kumng'ang'ania utakuja umia, kwa sababu atajirudi kwa kukuonea huruma. Huruma huwa inaisha baada ya muda mfupi tu, itakapoisha atakuacha na utaumia zaidi. Hata wale waliowahi wanapendana sana na hawaji kuachana milele wakaoana kwa mbwembwe wanaachana, sembuse wewe na huyo wako? Achana nae tafuta mwingine sio wako huyo ameshakutana na anaempenda. Utapata mwingine tu, Poa!!!
 
Heavy equipment

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
951
500
Badilisha mahala mlipokuwa mna do, kama ulizoea chumbani mpeleke sitting room au sehemu nyingine ambayo macho yake yanakuwa mageni hii itafufua hisia zake
 
Fpam

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
290
0
Mapenzi ni hisia so kama hana hisia hamna mapenzi tena hapo tena

Nachoshukuru amekwambia wazi kabisa ili ujue mapema

pole jikaze kijana ndo uanaume huo next time usiwe na msichana mmoja kuwa na alternative coz hukumuoa huyo
 
NasDaz

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,276
2,000
Love is all about feelings; and more often than not; they come without our conscious control! Huyo mdada amekuambia wazi kwamba hana tena feelings.....remember, feelings is what create love! So, as far as amekuambia kwamba hana feelings kwako, then the best way ni wewe kukubaliana na hali! What, akiamua kuendelea na wewe kwavile tu anakuonea huruma! Are you ready with that? Hakupendi, lakini kwavile tu anaona unateseka, anaamua kuendelea na wewe! Will you be comfortable? If YES, then you must be selfish!

By the way, kumbe haya mambo ya kupenda fully 100% bado hadi leo yapo?! Always, unatakiwa kuwa 50%, 50%; otherwise, kila siku utakuwa unalia lia hapa! Don' Forget, Love Not! Love Not! The Things You Love May Change!! Maisha haya unatakiwa kupenda kichalechale sio kama Mlokole kwa Yesu!
 
Suprise

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
2,697
1,195
Pole jipe mda to find urself , mkaushie kwa mda then utaona respond yake, jifanye kama hukumbuki kama aliwahi kua wako hata cmu stop,najua wadada tulivyo atakuja kasi huyo then utamuendea kwa machale
 
Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,304
1,500
Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana
Wewe ni mwanamme mwenye bahati kuliko wengi, yaani umeambiwa habari njema unashindwa kula, mapenzi yanafanywa na hisia kama hana hisia hakuna mapenzi tena, jipukute/jipanguse ondoka wa kwako mwenye hisia nawe yuko mbele....Usichukulie nipo harsh ila ukweli utabakia kuwa ukweli hata kama umepingwa na RAISI.Jamaa yangu tena kama hadi sasa hujala kajitafutie msosi unoupenda bila kuangalia gharama kisha mshukuru mungu kwa kuambiwa ukweli....ni hayo tu mdogo wangu
 
Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
808
500
Kama kweli unataka arudi kwako acha kulialia,fanya kitu ambacho sasa unakiona kigumu,"kumpotezea",chunguza vitu ambavyo alikua anachukizwa navyo kwako jaribu kujiboresha,jitahidi kutoka na wasichana wengine wazuri na angalau akuone,usimpigie simu,mpe nafasi(zawadi) ya yeye kukumiss.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mtoto wa kitaa

Senior Member
Nov 7, 2012
149
0
Uyo mwanamke kampata mwingine,nacho kushauri tafta mwingine asikupotezee muda huyo. wanawake wengi wakifika chuo huwa wanabadilika sana.
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,153
2,000
Usijali utapata mwingine! Bora ame kwambia ukweli na Mapenzi ndio yalivyo!

Mm ni mvulana, nampnz wangu nimedumu nae karibia mwaka 1, lakn kama mwezi umepita mpnz wangu ame nibadilikia sana, kwasabu nampenda nimevumilia mengi sana, cha kuchangaza nimeongea nae, ana niambia hana hisia na mm tena! Hawezi fanya chochote na mm, Sijawa mkosea pia sistahili adhabu anayo nipa..nmejaribu kumpotezea nimeshindwa, hata kuanzisha uhusiano na mtu mwingine naona ntakuwa najidanganya.. nampenda sana, roho inauma, naumia sana. Wapendwa nakosa furaha hata kula naona tabu, nina miaka 24 yeye ana miaka 21 , nime maliza chuo na yeye ndio ameingia kwaka wa tatu, kumpotezea siwezi naombei ushauri jinsi ya kurudisha hisia zake kwangu!..nina hali mbaya sana
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,276
2,000
chezea wanawake hee!!! haya mwana ndio ulishabwagwa...lia thu mwana itapungguza machungu. sasa ushauri wa bure ...next relationship weka mgu ndani mguu nje!!! tym yoyote ile unaweza sepa au akisepa wee mwake tuu....
 
KASHOROBANA

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,244
1,500
Badilisha mahala mlipokuwa mna do, kama ulizoea chumbani mpeleke sitting room au sehemu nyingine ambayo macho yake yanakuwa mageni hii itafufua hisia zake
WE VP, KESHAPIGWA KIBUTI UYU, MSHAURI ACHAPE LAPA, VINGINEVO AJIANDAE KUWA MSHIKA PEMBA WATOTO WA MJINI WAKIKAMUa.
WE DOGO ACHA UFALA WAKO USIMPENDE DEMU KWA 100% HAWA NI KM KUNGULU LEO MTI UU KESHO ULE PIA HAWAFUGIKI, DAWA YAO CHAPA MIMBA PIA CHAPA LAPA KWA MPIGO
 
gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,157
2,000
mmmmh! at that age????................
shukuru Mungu sana and calm down wait for the correct love. u mwanaume mzuri sana wala usiumie kwa hilo.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,135
2,000
unamg'ang'ania kwani mlizaliwa wote?
kama ulikua hujui hayo ndio mapenzi...hebu jikaze kiume...
 
Top Bottom