Hallo Wana namshukuru sana Mungu kwa kuniwezesha na kunipitisha katika mapito mbalimbali ya ujana. Namshukuru kwa kuniwezesha kufunga pingu za maisha na mke wangu mpenzi siku ya Jumapili ya tarehe...
basi nilimkimbilia, nikamkumbatia, nikamkiss kwa hisia kali, nae pasipo ajizi alijibu kwa mahaba. Hivyo ndivyo nilivyoukaribisha mwaka mpya huu 2013 na shemeji yenu. Tulikuwa hatujaonana tangu...
Mwanaume ana miaka 38 na girlfriend ana 21,haya mahusiano yanawezekana??mwanamke yupo real hayupo kimaslahi maana anauwezo wa kujikimu na kujitosheleza,Mwanaume nae pia ni tajiri na hana mke wala...
Mimi najiuliza sipati jibu hasa kwa hawa marafiki ukuta wanashirikiana kila kitu ila ikifika kushirikiana wapenzi watu wanatoana ngeu ni kitu gani hasa kipo kwenye mapenzi?kwanini watu wanapeana...
2013 ni heri niwe pekeanguuu,,
au 2013 ni heri niwe na mmojaaa,,
2013 ni heri niwe na subiraaaa,,
au 2013 ni heri nibadili tabiaaa??
2013 ni heri tubadili tabiaa ukimwi watishaaa,,,
happy new...
Wanajamii
Kipindi hiki cha Sikukuu nilikuwa nina mjadala na Sisters zangu na Shemeji yangu mmoja juu ya nini nini hasa kinampa Heshima Mwanaume katika Jamii hasa pale tu akutanapo na watu wengine...
Nipo hapa maeneo ya Kimara kwenye baa maarufu sana hapa ya siku nyingi, baa hii ina huduma ya mapumziko (vyumba vya kulala). Bado wananchi hawajajaa sana leo wikiend, nimekuja kupata supu, hamna...
Wadau,
nimeoa mwezi uliopita. Mke wangu alipenda tusifanye ngono kabla ya kuoana nikakubaliana nae.
Sasa baada ya kumwoa ndo shughuli imeanza. Nikisex nae huwa anapagawa kupita maelezo huwa...
Nimebahatika kuwa na mke mzuri sana,ni mchanganyiko wa mnyamwezi na muhaya,ni mzuri na ana tabia nzuri sana,tumebahatika watoto wawili,na ndoa yetu ina miaka sita sasa,nina kazi nzuri na nakaa...