Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,708
Wanajamii
Kipindi hiki cha Sikukuu nilikuwa nina mjadala na Sisters zangu na Shemeji yangu mmoja juu ya nini nini hasa kinampa Heshima Mwanaume katika Jamii hasa pale tu akutanapo na watu wengine iwe ni mara ya kwanza au si mara ya kwanza. Kulikuwa na tofauti kubwa sana ya mawazo, kwa ufupi ilidaiwa heshima ya Mwanaume inatokana na:
Je ni nini maoni yako? Heshima ya Mwanaume katika Jamii hasa inatokana na nini hasa?

- Kiasi cha pesa alichonacho na jinsi anavyotumia
- Aina ya mavazi anayovaa na ni ya gharama kiasi gani
- Kitambi chake
- Ucha Mungu wake
- Anavyoitunza familia yake
- Gari anayoendesha ni ya namna gani
- Mali na Utajiri wake
- Cheo chake kazini
- Huduma yake kwa jamii na jinsi anavyojitoa
- Kuwa na marafiki wengi nk nk.