Nzenzu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 858
- 164
basi nilimkimbilia, nikamkumbatia, nikamkiss kwa hisia kali, nae pasipo ajizi alijibu kwa mahaba. Hivyo ndivyo nilivyoukaribisha mwaka mpya huu 2013 na shemeji yenu. Tulikuwa hatujaonana tangu september mwaka huu. Mwenzangu sijui wewe umeupokea kwa style gani?