Kwa wa dada wanaotaka wachumba 2013

Kwa wa dada wanaotaka wachumba 2013

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
219480181809973287_bhgUtTcC_c-352x640.jpg
 
Hivi kumbe ndio ipo hivi eenh??
 
ombeni nanyi mtapewa,tafuteni mtapata all the best
 
jamaa hana mengi moja tu NIDO kwake tosha!
 

Kwa wenzetu yaan rangi hiyo kwenye picha,Kwa anayeomba anaomba kulingana na mahitaji yake na kwa jinsi yeye alivyo,tofauti na sisi tuomba kulingana na mahitaji yetu lakini sisi hatupo sawa na mahitaji yetu(yaan inversely proportional)

Happy new year!


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwakweli huu mwaka me taka mume sasa...amen
 
haya sasa kumekucha

Mwalimu gfsonwin nikutakie heri ya mwaka mpya bwana,uwe mwaka wa mafanikio kuliko huu unaoisha.Ila muombe mungu vijana wasifunguke bwana wewe uko kwenye kifungo tayari ha ha ha ha ha..................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom