Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wanajf... Natatizwa na hili swala jaman nisaidieni Hv kuna madhara yoyote kuendelea kuwasiliana na x-boy /x-girl wako,wakati unadate na mtu mwingine?? Nahitaji msaada wakuu
0 Reactions
42 Replies
4K Views
wanajamvi! Mie n kijana w kitz,nimebatika kusafiri nchi kadhaa ktk east afrika. KTK pitapita zangu,nimepigwa na butwaa na kubaki nikishika tama!!nimetafuta suluhu kw wengi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Pale wapenzi wanapofumaniana au pale mmojawao anapokuwa na hisia za kusalitiwa,msalitiwa humuuliza msaliti:'kwani huyu/yule ana nini ambacho mimi sina?' Ni swali gumu kwa wengi.Wengi hubaki kimya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
@ Mjisikie huru kuweka wimbo wowote ule iwe Bongoflava, taarab, zilipendwa, za kikabila, bolingo n.k. katika kusherehekea kuuaga mwaka wa 2012 na kuukaribisha mwaka 2013. Heri ya Mwaka Mpya...
18 Reactions
103 Replies
7K Views
ngoja na mimi leo nitoke kimtandao, hii ni special kwaajili yako mpenzi, ni mimi mpenzi wako AS.
1 Reactions
35 Replies
3K Views
nawashuri wale wote ambao hamjafungwa katika jela ya mapenzi fanyeni hima mje gerezani,mwenzenu naingia mwaka wa tisa huu gerezani raha tupu,au hamjui ilipo mahakama za mapenzi ? Wajuzi waambieni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hii imetokea leo mlimani city eneo ilipo bank ya nmb, ambapo jamaa mmoja mtanashati alipogongana uso kwa uso na njemba moja iliyokuwa imeongozana na mke wake sijui yule. Yule mdada alikuwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
A young girl about to go on a 1st date with her boyfriend was been tutored by her grandma. "He will try to kiss you, allow him. He will try to cuddle you, allow him. He will try to lay u down and...
0 Reactions
2 Replies
883 Views
Heri ya mwaka mpya wadau.... mwaka huu 2013,ni mwaka wa vijana bachelors to get wenzi wao......Njia ni kusali kwa bidii,pia Mwaka wa ajira pia, Ikibidi fanya Novena ya siku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kabla ya kumaliza mwaka nimeona nitoe dukuduku langu la moyoni kuhusu huyu dada anaeitwa gfsonwin KI ukweli NAMPENDA SANA NA HUWA NAJIKUTA WEAK BILA SABABU YA MSINGI HASWA NIKIKUTANA NA...
18 Reactions
445 Replies
29K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!!!!! IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Mwaka mpya na salamu jipya) Kwanza kabisa guys LIKE JF FACEBOOK PAGE TO SUPPORT JF!!!!!!! M pesa imewashinda hata...
12 Reactions
47 Replies
4K Views
Hivi karibuni kuna dem aliniambia eti wanaume weupe hawajui mapenzi japo nilishangaa sana Sasa nimeona nije hapa jukwaani kuuliza je jambo hili ni la kweli?basi karibuni kwenye mjadala.
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakubwa zangu shikamooni!!!!!!!!! Peopleeeeeeeeessssssssssss!!!!!! Jamani ile tabia ya ubesteee na Mume/Mke wa mtu wa kukolea japo hamfanyi chochote jamii inauchukuliaj! Mfano wa company ya...
4 Reactions
178 Replies
11K Views
Iwe Idd Mubaraq or whatever, people wanangonoka sana! Iwe Xmass, New yr, ngono sana! Hivi kuna uhusiano gani kati ya ngono na sikukuu? Watu wanatoka na wapenzi wapya, wanacheat sana, hivi sikuu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hi.
Ikiwa Idd Mubaraq or whatever, ngono sana, ikiwa xmass, ngono sana, ikiwa new yr, suala ni hilo hilo! Hivi ni lazima kungonoka katika siku hizo au kuna nini kati ya sikukuu na ngono?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nawasalimum wote ndugu zangu: hapa nilipo nahisi ubongo wangu kufloat kabisa na kushindwa kufikiri,msichana huyu wa kazi nimeishi naye muda mrefu sana na amenilelea watoto kwa muda wote,ni...
6 Reactions
176 Replies
11K Views
Both Friends Will Think The Other Is Busy... And Will Not Contact Thinking It May Be Disturbing...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya ujao 2013 Muda huu nipo na laptop kuna jambo limenipa utata Rafiki yangu wa miaka mingi anaishi mkoa fulani kusini amenialika kwake na nimeingia leo. Nimefika...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari wanajamvi wenzangu, natumai mko fiti kabla sijamaliza mwaka huu nimekuja na kitu kingine leo ambacho kitawafanya wadada na wamama zetu kuwa makini na watu wa aina hii ninaowaelezea hapa...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom