Happy New Year MMU

Happy New Year MMU

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Haya muwe na mwaka mwema wenye baraka na Mungu awaongoze kwa yote
 

Attachments

  • 1920_2013 Happy New Year.jpg
    1920_2013 Happy New Year.jpg
    146 KB · Views: 49
Asante. Nawe pia, heri ya mwaka mpya!
 
Mkuu, shukrani nyingi. Heri ya Mwaka Mpya 2013 na kwako pia.
 
Shukrani sana wakuu, dah huko nje nasikia kelele za madebe na madumu na baruti na fataki.....zinanikumbusha enzi za utoto
 
Happy New Year to all MMU members and guests!
 
Happy New Year to all MMU members and guests!
Hahahahaaa hope Guests watasoma tu na ku smile coz sidhani kama wanaweza kujibu
 
Asante sana... Kila la heri kwa mwaka 2013..
 
Hahahahaaa hope Guests watasoma tu na ku smile coz sidhani kama wanaweza kujibu

Ndio nawatamanisha ili wawe members! Tena wasapoti JF kabisa maana wamekuwa wanachungulia chungulia mara nyingi! Usiulize kwanini mie sina chata ya kusapoti... Nasubiri mshahara wa 2013!
 
Ndio nawatamanisha ili wawe members! Tena wasapoti JF kabisa maana wamekuwa wanachungulia chungulia mara nyingi! Usiulize kwanini mie sina chata ya kusapoti... Nasubiri mshahara wa 2013!
Hahahahaaa unataka kusema we mshahara wako unatoka kwa mwaka mara moja eeeh?!
 
Hahahahaaa unataka kusema we mshahara wako unatoka kwa mwaka mara moja eeeh?!

Ndio hivyo mkuu! Yaani unahitaji utaalamu wa hali ya juu kupanga bajeti! Vinginevyo unajikuta umefulia kabla ya kufika June!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom